Kukatika umeme Bungeni hadi Bunge kuhairishwa hii ni dhahiri kuwa Serikali imeshindwa kutawala

Spika wa a bunge Dk Tulia Aksoni amehairisha bunge leo baada ya hitilafu kubwa ya umeme hii ni hujuma dhidi ya waziri au nchi hii imeshindikana.

Hapa wazidi lazima awajike na timu yake, tutamkumbuka sana Rais Magufuli kwa haya yanayoendelea sasa.

Tulianza kuona shida ya umeme tangu januari awe waziri na akasema shida ni maji mvua ziliponyesha akabadilisha akasema shida ni uchakavu wa mitambo kwamba kwa miaka mitano ya jpm kukuwa na service yoyote sasa sijui ana sababu gani nyingine

Ukakatika sana majumbani kisha kwenye taasisi kama pale kwa mkapa na watu wanafukuzwa kazi sijui sasa Bungeni watasemaje?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
IMG-20230515-WA0016.jpg

Tuiexclude Tanesco
 
Yaani tatizo la Mwendazake masalia kila kitu ni siasa tu?!!Tanesco toka lini wanahusika na tatizo la umeme ndani ya nyumba?wao jukumu lao ni umeme kutoka kwenye nguzo hadi kwenye mita basi.Baada ya hapo hawahusiki tena,hilo la jana tatizo lilikuwa ni ndani ya jengo ila umeme hadi kwenye mita ulikuwepo!!
 
Wamekwepa ishu ya kariakoo ndo maana wamezima umeme makusudi huu mgomo ni kaa la Moto Kwa serikali..
Huu ni mgomo ambao utaingia Hadi mikoani
Kwa hiya Waziri Mkuu alikuwa anatakiwa kusafiri, na Spika hana taarifa za Kariakoo, sasa ikawaje tena
 
Back
Top Bottom