Kukatika umeme Bungeni hadi Bunge kuhairishwa hii ni dhahiri kuwa Serikali imeshindwa kutawala



Tuiexclude Tanesco
 
Yaani tatizo la Mwendazake masalia kila kitu ni siasa tu?!!Tanesco toka lini wanahusika na tatizo la umeme ndani ya nyumba?wao jukumu lao ni umeme kutoka kwenye nguzo hadi kwenye mita basi.Baada ya hapo hawahusiki tena,hilo la jana tatizo lilikuwa ni ndani ya jengo ila umeme hadi kwenye mita ulikuwepo!!
 
Wamekwepa ishu ya kariakoo ndo maana wamezima umeme makusudi huu mgomo ni kaa la Moto Kwa serikali..
Huu ni mgomo ambao utaingia Hadi mikoani
Kwa hiya Waziri Mkuu alikuwa anatakiwa kusafiri, na Spika hana taarifa za Kariakoo, sasa ikawaje tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…