Kukatika umeme Pasaka, TANESCO mnatupiga changa la macho, ni uzembe

Kukatika umeme Pasaka, TANESCO mnatupiga changa la macho, ni uzembe

aah, matusi hayo. zile picha zilikuwa photoshop, lema alisingiziwa tu.

Watukatie tena? Fanya heshima ja[ppo kidogo, wengine tunawaheshimu hao wanasiasa wa upinzani, usifikie kuwatusi namna hiyo mtandaoni, si vizuri.
 
Back
Top Bottom