Elections 2015 Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

Pasco pole kwa yaliyokufika,ulitafuta kuwa Tomaso sasa umeona,weledi wako wooote wa hapa JF,uliishia kupenda upofu.kwa hali yoyote ile CCM imefanya kama EL alivyotaka kifupi imemtendea haki kwa kujibu mapigo.Mtia nia huwezi kwa wakati mmoja ukawa kama mtia nia asiye na chama.
 
Ha ha ha ha kweli mkuu halafu huenda yakanipa shida wakati wa kushusha mzigo.
Hebu nishauri nikiagiza mihogo mibichi na karanga mbichi navyo vitakuwa na madhara?

Hapo nafikiri uombe ushauri kwa shemeji anaweza kuwa msaada zaidi kwamba uagize hivyo au la, kama huna wa permanent hata wa part time tu.
 

Afadhali ya pamba ni mzito
 
by Cathode Rays;
Nimejikuta nacheka tu

Kwa kuwa Slaa ni Padre, hiyo kazi ya kumbandikia mikono na kumsalisha sala ya toba angeifanya yeye



Mkuu Cathode Rays, wewe endelea kucheka tu!
Hiyo namba 1 ndio msingi wa mkutano hapo Jangwani LAZIMA AANZE NAYO~mchuzi wa mbwa hunyewa ungali bado wa moto, ukipoa hutaweza kuunywa!
 
Last edited by a moderator:
Hapo nafikiri uombe ushauri kwa shemeji anaweza kuwa msaada zaidi kwamba uagize hivyo au la, kama huna wa permanent hata wa part time tu.
Nitashauriana nae,na hii itakuwa poa sana coz kwenye matangazo ama mapumziko na mimi nitapata wasaa mzuri wa kupumzika iwe kwa permanent au part time.
 

Sahihi kabisa mkuu!
Wangekuwa na fighting chance kama wangempitisha Makongoro.... poor them! JK anamtaka ndugu yake Membe, hilo ndo tatizo.
 

Mkuu nkuwi nashukuru kunielewa

Kuna mtu hap mpenda shari naona anataka kukuza mambo

Ahsante kwa thread nzuri yenye kufurahisha though you camt expect mtu kama Lowasa kuwa na utadhi wa kufanya haya....hahahaa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…