Elections 2015 Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

Kwa kweli Pasco huyu jamaa
angelikuwa anaishi nchi kama UK.
sasa hivi angelikuwa Jela.
 

1. Kwanini aanyie Jangwani? Si yeye bwana mapesa bwana, aandae press conference irushwe TVstations zote.

2. Mliyowafanyia watanzania? Yeye na nani? Why now?

3. Yaani sasa hivi ndiyo azaliwe upya? Unajua maana ya kuzaliwa upya Au kikiasa? If so, wale wachungaji, maaskofu, Masheikh walikuwa "wadhambi"? H8vi bado hamjaelewa lile somo la kuwa ' MUNGU hadhihakiwi'?

4. You are too naive to think UKAWA watampokea Lowassa, the guys aren't desprate but he is!

5. Lowassa is too proud to do that!


Anyway, nimesoma katika BBC Swahili Tweet kuwa atahamia ACT na Mh. Zito Kabwe kumpokea.
 
CCM ingeweza kupeperusha vyema bendera yake kwenye mbio za urais kama wangempitisha Lowassa kwa sababu ndiye mwenye maamuzi magumu na sahihi ambayo yamekosekana katika awamu ya nne.

Kukatwa kwake ndio mwanzo wa Ccm kujichimbia kaburi lao.

Lowassa fanya maamuzi magumu,tunakuhitaji ikulu.
 

Maamuzi magumu alonayo lowassa Ni ya kutumia pesa Tu.
 

Bwana asifiwe!!!!!!!!!!!
 
Majibu ya walioingia tano bora muda wowote yanaweza kubadilika
 
 
Last edited by a moderator:
KWA KILA JAMBO KUNA:-
a. Wakati wake
B. majira yake
c. sababu yake
D. makusudi yake
Tuache hivyo vitu nne VIAMUE.... kwa kuwa maneno ya Mwanadamu hayawezi kubadilisha Chochote isipokua hivyo vitu vinne.
 
Maamuzi magumu alonayo lowassa Ni ya kutumia pesa Tu.
Mkuu pesa inatafutwa ili itumike,Tanzania ya leo yenye changamoto nyingi,yenye kuhitaji kusonga mbele hakika inamhitaji kiongonzi mwenye elements za kidikteta.Lowassa anastahili sana, na kwakuwa CCM wamefanya kosa kubwa la kumkata wasubirie na wategemee anguko KUU mwaka HUU​.
 

Kwa heshima mkuu huyu mzee labda kwa kutokujua au kushauriwa vibaya amezivunja sharia zote za uchaguzi kiasi kwamba hakuna jinsi anaweza kusimama kwenye uchaguzi hapa nchini. Hakuna chama kitampa nafasi huku kikijua wazi watapa pingamizi la uchaguzi.
 
aseee...so dissapointed...tho mi sio ccm...ila lowasa ni jembe
 


Lowassa kawa msafi lini na genge lake? Kama wapinzani UKAWA wanampendekeza kwa nafasi hiyo kuna sababu gani ya kuwasapoti? Nadhani wenye nia njema na nchi hii tutarudi CCM. Simsapoti Lowassa na majizi yote.
 
Maamuzi magumu alonayo lowassa Ni ya kutumia pesa Tu.

Kweli mkuu sasa tumuone tena akigawa pesa. Si amesema anauchukia umaskini basi sisi maskini atugawie hizo hela zake sio lazima awe rais. Misikitini na makanisani wanamsubiri atoe zingine
 

Akajaribu kugombea nchi nyingine.Tanzania urais haununuliwi kwa kutoa rushwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…