Kukiri kwa Sabaya Kumeaibisha CCM, Awamu ya 5 na Yeye Mwenyewe

Kukiri kwa Sabaya Kumeaibisha CCM, Awamu ya 5 na Yeye Mwenyewe

Kwa maana yako hii unamaanisha kuwa Sabaya ni msafi kabisa hajawahi kufanya aliyokuwa anashitakiwa nayo?
Hiyo sheria ya plea bargaining ndiyo ya kijinga,sabaya awe msafi au mchafu mahakama ndiyo inajua......ila mtu kufanya makosa na kuanza kunegotiate na kulipa ndiyo Uzuzu
 
Hivi CCM kuna aibu gani hawajaipata mpaka leo??? hakuna kitu wataonea aibuu...
 
Asahau tena kazi serikalini. He is officially a criminal
Hivi kwa kukiri hayo makosa tena makubwa unaona hiyo adhabu ndiyo alikuwa anastahili.Ni swala la muda tu,atasafishwa kijana tena na uteuzi atapewa.CCM siyo wa kuwaamini.
 
Wewe unadhani DPP huwa anaamua tu kutoendelea na kesi?[emoji2956][emoji2956][emoji2956]
Ndio, sasa kama hana msingi wowote wa kuisimamia kesi yake ataendelea nayo vipi kama sio ku surrender?
 
Back
Top Bottom