Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Sabaya amefedheheka sana kuwa ni Jambazi, mpokea rushwa, mtumia madaraka vibaya na mbakaji.
CCM nayo imeadhirika kwa kuwa inaweka madarakani vijana wenye hulka mbaya bila ya kuwafanyia Scanning hivyo ni chama kisicho makini na hakifai kupewa dhamana tena. Jee wangapi wa aina ya Sabaya bado wapo?
Awamu ya 5 iliyokuwa inasemwa kuwa inatumia viongozi wake baadhi kutenda maovu nayo sasa imedhibitishwa kuwa ilikuwa ya kishetani kwa huu ukiri wa Sabaya.
Kumbe hata sheria ya Plea bargain ilitungwa kuwalinda zaidi watu wao wakiharibu.
Kwa kukiri kwake maovu yale yote hata kama kapewa hukumu ile ndogo na mahakama, jamii bado HAIJAMSAMEHE maana hajaiomba radhi na kutubu makosa zaidi ya kuitambulisha kuwa ni MUOVU.
AIBU, AIBU,AIBU.