Kukiri kwa Sabaya Kumeaibisha CCM, Awamu ya 5 na Yeye Mwenyewe

Kukiri kwa Sabaya Kumeaibisha CCM, Awamu ya 5 na Yeye Mwenyewe

Wewe hujui Siasa uko Chadema kikanda tu

Mbowe aliombewa msamaha na Zitto Kabwe kupitia Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na ndivyo sababu Zitto alitamba kwamba Yeye ndio mtu wa kwanza kujua kwamba Mbowe anaachiliwa kwa Masharti na DPP siku ile

Mbowe ni mkristo hakutaka Kuwa kama wale Wakoma 9 akaamua kwenda Ikulu direct Kumshukuru Rais

Mungu akubariki!
Mpaka unatia aibu.
 
ni Mambo ya kawaida Sana kwenye maisha ya siasa ,hata mbowe alipitia njia hii hii ,ya kukiri na kujishusha ili upepo upite maisha mengine yaendelee.
 
ni Mambo ya kawaida Sana kwenye maisha ya siasa ,hata mbowe alipitia njia hii hii ,ya kukiri na kujishusha ili upepo upite maisha mengine yaendelee.
 
Aibu nyingine ndio hii, CCM kumiliki kundi la vijana wasio jitambua na kuropoka tuu hovyo bila kufikiri
Wewe mwenyewe unamilikiwa na ccm ndo mana humo humu unailalamikia kwenda kinyume na ulivyotarajia ili maisha yako yasonge.
Aibu hipo kwenu na wakuu wenu kumpokea Mama na kwenye Mkutano wa BAWACHA"akawaimbisha chamaaa cha mapinduziiii cha jengaaaa nchiiii".
Baadaye akawambia ccm hoyeee mkasema oyeeeeee. Wakati nyie ni watu Popiziiii power.
 
Sabaya amefedheheka sana kuwa ni Jambazi, mpokea rushwa, mtumia madaraka vibaya na mbakaji.

CCM nayo imeadhirika kwa kuwa inaweka madarakani vijana wenye hulka mbaya bila ya kuwafanyia Scanning hivyo ni chama kisicho makini na hakifai kupewa dhamana tena. Jee wangapi wa aina ya Sabaya bado wapo?

Awamu ya 5 iliyokuwa inasemwa kuwa inatumia viongozi wake baadhi kutenda maovu nayo sasa imedhibitishwa kuwa ilikuwa ya kishetani kwa huu ukiri wa Sabaya.

Kumbe hata sheria ya Plea bargain ilitungwa kuwalinda zaidi watu wao wakiharibu.

Kwa kukiri kwake maovu yale yote hata kama kapewa hukumu ile ndogo na mahakama, jamii bado HAIJAMSAMEHE maana hajaiomba radhi na kutubu makosa zaidi ya kuitambulisha kuwa ni MUOVU.

AIBU, AIBU,AIBU.
Aibu kubwa sana kwenye taifa huru kama Tanzania.

Lazima watanzania tuiondoe ccm madarakani maana inawafuga waharifu kama Sabaya na gaidi Hamza
 
Moja ya sifa yako kuu kwa sasa ni kuandika bila kufikiri ili uonekane unaandika sana na wewe ndio Ronaldo wa JF wakati ni jichwa box tuu. Mbowe amekiri nini? Hata kijana mdogo mwenye IQ ya wastani aliyefuatilia kesi ile anajua nini kilifanyika tofauti na makubwa J. msiotaka kuelewa.
Hilo ni zaidi ya zumbukuku na mimi huwa wala sijisumbui kumjibu.
 
Back
Top Bottom