Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 123,265
- 98,318
Jiwe aliwaharibu sana uvccmAibu nyingine ndio hii, CCM kumiliki kundi la vijana wasio jitambua na kuropoka tuu hovyo bila kufikiri
Jiwe aliwaharibu sana uvccmAibu nyingine ndio hii, CCM kumiliki kundi la vijana wasio jitambua na kuropoka tuu hovyo bila kufikiri
A big criminalAsahau tena kazi serikalini. He is officially a criminal
Sukuma gang njaa itawaua dadeeekiiiMbowe alikutwa na kesi ya kujibu kwamba yeye ni gaidi muuwaji
Wanatumia masaburi haoAlikiri wapi,?.
Huwa mnatumiaje ubongo wenu wa mbele,?!!
Wachana na zwazwa huyoNenda shule bwana Jackson ujiepushe na aibu! Kesi ya kujibu ni hatia?
Babu yangu aliwahi nishauri juu ya arguments za aina hii kuziendekeza kwani people might not notice the difference, bora ninyamaze!
Ni criminal tuSabaya amekiri mashitaka mawili peke yake,nayo ni
:
"Imeelezwa kuwa Lengai Ole Sabaya na wenzake, Januari 19, 2021 katika eneo la Masama Mbosho wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, bila kibali walivamia duka la Alex Evarest SwaI na kuchukua mali na kuzizuia na kujipatia kaisi cha fedha shilingi milioni 50.
Kosa la pili ni kuzuia upatikanaji wa haki ambapo Januari 19, 2021 katika maeneo tofautitofauti katika Wilaya ya Hai na Tulia jijini Arusha na maeneo tofauti ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, walikula njama za kumfanya Alex Swai kuwa ametenda kosa la kukwepa kodi."
Yale mashitaka saba mliyoyapanga na Mkwe wenu DPP Kweka,yote ameyashinda kwenye ile rufaa yake.
Haya ni mashitaka yaliyogeuzwa kuwa plea bargain,kwa sabavu sio uongo kwamba yule Swai hakuwa mkwepa kodi pale Bomangombe.
Hao wote ni matunda ya uvccm unategemea watakuwa na aibu gani wakati ni mazuzu?Mpaka unatia aibu.
Hata kiswahili hujui wewe MUSHUTIWewe mwenyewe unamilikiwa na ccm ndo mana humo humu unailalamikia kwenda kinyume na ulivyotarajia ili maisha yako yasonge.
Aibu hipo kwenu na wakuu wenu kumpokea Mama na kwenye Mkutano wa BAWACHA"akawaimbisha chamaaa cha mapinduziiii cha jengaaaa nchiiii".
Baadaye akawambia ccm hoyeee mkasema oyeeeeee. Wakati nyie ni watu Popiziiii power.
similikiwi na mtu yeyote hapa duniani. Kama wewe unamilikiwa na gaidi mnywa konyagi usidhani ni kila mtu. La muhimu zaidi, una uhakika gani mimi kijana?Aibu nyingine ndio hii, CCM kumiliki kundi la vijana wasio jitambua na kuropoka tuu hovyo bila kufikiri
hukohuko alikokiri sabaya, ng'ombe weweAlokiri wapi? Ficha ujinga wako
[emoji706][emoji706]Wewe mwenyewe unamilikiwa na ccm ndo mana humo humu unailalamikia kwenda kinyume na ulivyotarajia ili maisha yako yasonge.
Aibu hipo kwenu na wakuu wenu kumpokea Mama na kwenye Mkutano wa BAWACHA"akawaimbisha chamaaa cha mapinduziiii cha jengaaaa nchiiii".
Baadaye akawambia ccm hoyeee mkasema oyeeeeee. Wakati nyie ni watu Popiziiii power.
Wachana na huyo mnyarwanda[emoji706][emoji706]
Siwezi kukujibu nitajiaibisha!
Hakufika hatua ya kujitetea mahakamaniMbowe alikutwa na kesi ya kujibu kwamba yeye ni gaidi muuwaji
Alikiri uchochoroni? Maana mahakamani kesi ilikuwa inaemdelea kabla DPP hajaamua kuifuta kwa kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.Mbona gaidi alikiri kutaka kuua viongozi wetu na kuchoma moto vituo vya kujazia mafuta?
Sukuma gang wote wanajitahidi kumlinda mteule wa mjomba wao lkl hawatafanikiwaAlikiri uchochoroni? Maana mahakamani kesi ilikuwa inaemdelea kabla DPP hajaamua kuifuta kwa kutokuwa na nia ya kuendelea nayo.
Sabaya kakiri mbele ya mahakama kutenda jinai kwa utaratibu wa Plea Bargaining.
Aliombewa msamaha na Zitto?Wewe hujui Siasa uko Chadema kikanda tu
Mbowe aliombewa msamaha na Zitto Kabwe kupitia Kikosi Kazi cha Prof Mkandala na ndivyo sababu Zitto alitamba kwamba Yeye ndio mtu wa kwanza kujua kwamba Mbowe anaachiliwa kwa Masharti na DPP siku ile
Mbowe ni mkristo hakutaka Kuwa kama wale Wakoma 9 akaamua kwenda Ikulu direct Kumshukuru Rais
Mungu akubariki!
Wachana na huyo zumbukuku wa uvccmAliombewa msamaha na Zitto?
Mbowe hakuomba msamaha kwahiyo hakuna ushahidi wa madai yako bali maneno ya vijiwe vya kahawa.
Kwamba unataka kuaminisha umma serikali ya CCM haifuati katiba wala sheria iliyojiwekea?Serikali gani?
Huyu mumeo wasipofungwa na jamhuri atafungwa na MUNGUSabaya amekiri mashitaka mawili peke yake,nayo ni