Kukithiri kwa wingi kwa pombe fake, Mamlaka imeshindwa kudhibiti?

Kukithiri kwa wingi kwa pombe fake, Mamlaka imeshindwa kudhibiti?

Mpaka savanna Jamani [emoji119]
Watatuua
 
Nikipiga zangu eagle au bingwa natulia tuliii kiroho safi.hizo spirit kunyweni wenyewe kuna siku nilipiga valuer macho yakagoma kufunguka uzuri nilikuwa nyumbani tangu siku hiyo sitaki kusikia kitu kinaitwa spirit
Aisee umenikumbusha
Value ni pombe kali sana
Kuna siku nimeinywa nilitapika nikaona kama nakufa
Value hapana aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kudhibiti hali imekuwa mbaya sana serikali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakuwa mbaya sana.

Ukiwa bar kuanzia saa sita usiku na kuendelea bia zinazouzwa mida hii nyingi ni fake.
Ni jukumu lamamlaka ipi ,unayoilalamikia ni Tbs au maabara ya mkemia mkuu wa serikali
 
Back
Top Bottom