Yaani unafungua Uzi kabisa kwa sababu ya madawa ya kulevya aina ya pombe?
Umelazimishwa kunywa? Kama unakunywa pombe basi wewe ni jitu la hovyo kabisa, jibinafsi ,linalozulumu familia yake kwa kutumia asilimia 70 ya mapato yake lenyewe na majitu MINGINE ya hovyo unayoyakuta huko huko baa ysliyotelekeza familia na yanaishi kwa kula nyama mbichi za kupashwa kwenye moto maarufu kama nyama choma.
Ni lijitu la hovyo kabisa ambalo halina uwezo wa kuthibiti tamaa za mwili wake kwa kuharibu mwili wake, kwa madawa hayo ya kulevya aina ya pombe
Ni lidude la hovyo ambalo Kila siku hujitetea au hutumia fedha nyingi kulipa fidia au kuomba msamaa kwa makosa lililoyafanya likuliwa nimeb wia madawa hayo aina ya pombe
Ni jitu la hovyo Sana ambalo limeacha MKE mzuri na vitoto vizuri na kwenda kubeba MAGUMEGUME yenye maradhi mbalimbali anayoyakuta yanajiuza huko yakiwa yamejipiga ma make up kuvunika ngozi iliyoshbuliwa na mahonywa lenyewe likishabwia madawa hayo linabeba mwishowe linakusanya na mahonywa kuyapeleka nyumbani. Hovyo kabisa. Kwani usipokunywa unakuta? Hasara za pombe ni kubwa Sana. Watu wamefilisika kwa ajili ya pombe, ma genius darasani wamekuwa vichaa kwa ajili ya pombe, wafanyakazi wamefukuzwa kazi kwa ajili ya pombe, ndoa zimevunyika kwa ajili ya pombe, wamekufa mapema kwa ajili ya pombe. Kama unakunywa wewe ni jitu la hovyo Sana na libinafsi. Kuna vitu vingi vya kufanya zaidi ya pombe, jikite kwenye michezo, mazoezi, ibada, kwaya, vikundi mbalimbali vya kimaendeleo badilisha hobby na marafiki. Achana kabisa ni madude ya hovyo yanayokushauri kunywa madawa hayo yanayokuletea u nusu kichaa