Kukithiri kwa wingi kwa pombe fake, Mamlaka imeshindwa kudhibiti?

Kukithiri kwa wingi kwa pombe fake, Mamlaka imeshindwa kudhibiti?

Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kuthibiti hali imekua mbaya sana serekali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakua mbaya sana
Wanywaji wenyew hawalalamiki ikiwa kali ndio wanapenda watakwambia izo za tbs sio kali acheni watu wanywe wamependa wenyewe
 
Pombe hazifai ,zinaua maini na figo , ndo maana wajanja wana take advantage kuandaa pombe fake ili kuua moyo.


Serikali fatilieni haya mambo perfectly kuokoa hiki kizazi
Mnywaji wa bongo (africa kwa ujumla) yupo hatarini kupata dosari ya figo mapema zaidi (miaka 5-10), wakati katika nchi zilizoendelea watu wanapiga pombe miaka hadi miaka bila kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa hao,walevi wengi ulaya wanazeeka vizuri tu.

Zinazoitwa bad life style duniani kote zinafanyika ila mwisho wa siku huku Africa ndio zinako leta madhara makubwa, kwanini? Ni kwamba huku zinafanyika katika namna ambayo ni FAKE.

Hili tatizo la udhibiti wa vyakula na vinywaji haliwezi kuisha kwasababu tuna wataalamu waliokariri masomo ya sayansi ambao hawawezu kui-navigate sayansi. HAWAJUI LOLOTE.
 
Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kuthibiti hali imekua mbaya sana serekali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakua mbaya sana
IMG-20231227-WA0049.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kueleweshwa pombe feki nikwamba inakuwa viwango vya kilevi vinakuwa chini au juu ya kiwango stahiki? Au ndo haina vibali?
Pombe fake haina ubora kama ya viwandani. Inaweza kutengenezwa kwa chemical za hatari, au uchujaji wa pombe unakuwa wa ki-local na kuacha uchafu na kemikali hatari ndani ya pombe. Pia kilevi kinaweza kuwa juu kupita kiwango au chini ya kiwango.
 
Naomba kueleweshwa pombe feki nikwamba inakuwa viwango vya kilevi vinakuwa chini au juu ya kiwango stahiki? Au ndo haina vibali?
Inatengenezwa chini ya kiwango. Zile ingredients zinakuwa sio zenyewe baadhi zinatafutwa mbadala tu.

Au kama ni zenyewe watabalansi isivyo hali itayofanya kuwe na utofauti wa kiwango cha alcohol kuzidi au kupungua au ladha kuwa tofauti kidogo.

Kuna nyingine wanapatia kila kitu ila wanabugi kwenye kifungashio tu.

Binafsi nimekunywa feki mara tatu, sina hamu.
Mara ya kwanza tulikuwa wawili, tukamrudishia muuzaji aonje ladha akabaini utofauti. Kisha tukamwonesha nembo za TRA zimepandana. Tukasema achague orijino ni ipi, akasema itakuwa ni hii. Tukasema tutalipia orijino feki kunywa mwenyewe. Na yeye akambana aliyemuuzia.
 
Wewe ndio una ham kushobokea mabwana zako mimi nime comment Uzi wewe ume kuja Ku reply comment yangu uzwazwa ulitegemea nini
Dawa ya moto moto tu.
Unawashwa washwa unataka kukunwa?
 
Back
Top Bottom