Kukithiri kwa wingi kwa pombe fake, Mamlaka imeshindwa kudhibiti?

Kukithiri kwa wingi kwa pombe fake, Mamlaka imeshindwa kudhibiti?

Bora kuanza kutenegeneza red wine mwenyewe nyumbani, unaivundika, kwanza ni healthier na ina faida kwa afya ya moyo kuliko haya ma chemical ya viwandani , hawa sisters wa catholic wanajua sana kuzitengeneza.
 
Kuna pombe zinapikwa Kwa sukari na hamira,wapikaji wakija kwangu kununua hamira huificha wanywaji wasione,ni hatar sana,zinapikwa na ziaiva within a day,wanywaji ukiwaona afya zao ni tete
 
Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kudhibiti hali imekuwa mbaya sana serikali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakuwa mbaya sana
Huenda MAMLAKA ni mnufaika pia wa hiyo Biashara ya Pombe feki..
 
Kumekuwepo kwa kukithiri kwa wingi kwa pombe fake hapa Tanzania ni kama mamlaka imeshindwa kudhibiti hali imekuwa mbaya sana serikali ionee huruma wananchi wake huko mbeleni hali itakuwa mbaya sana

Ukiwa bar kuanzia saa sita usiku na kuendelea bia zinazouzwa mida hii nyingi ni fake
Fafanua, bia fake inakuwaje. Kwa uzoefu wangu mlevi hata alewe vipi ukimfungulia bia asisikie gesi hiyo yako haitaki. Pili katika hizi bia kuna grades. Kuna ambazo ni laini na ambazo ni chungu lakini zote brand moja. Kama wewe sio mlevi unaweza kisema bia fake kumbe hujui.
 
Pombe ni pombe hakunaga feki, labda uniambie ni copy
 
Fafanua, bia fake inakuwaje. Kwa uzoefu wangu mlevi hata alewe vipi ukimfungulia bia asisikie gesi hiyo yako haitaki. Pili katika hizi bia kuna grades. Kuna ambazo ni laini na ambazo ni chungu lakini zote brand moja. Kama wewe sio mlevi unaweza kisema bia fake kumbe hujui.
Kutokuwepo na gesi haimaanishi hiyo ni feki, huenda imesababishwa na leakages au gesi haikujaa vzuri kiwandani
 
Pombe hazifai ,zinaua maini na figo , ndo maana wajanja wana take advantage kuandaa pombe fake ili kuua moyo.

Serikali fatilieni haya mambo perfectly kuokoa hiki kizazi
Sukari pia inaua hivyo vitu vyote...kuwa makini usije acha pombe ukakimbilia sida na juisi
 
Wanywaji wenyew hawalalamiki ikiwa kali ndio wanapenda watakwambia izo za tbs sio kali acheni watu wanywe wamependa wenyewe

Ila ilonalo neno mkuu..kama sisi wenyewe walevi atulalamiki why[emoji38][emoji38]
 
Kumbuka Tanzania inashika namba tatu kwa kunywa pombe cha msingi watu watumie akili zao
 
Mnywaji wa bongo (africa kwa ujumla) yupo hatarini kupata dosari ya figo mapema zaidi (miaka 5-10), wakati katika nchi zilizoendelea watu wanapiga pombe miaka hadi miaka bila kuwa na idadi kubwa ya wagonjwa hao,walevi wengi ulaya wanazeeka vizuri tu.

Zinazoitwa bad life style duniani kote zinafanyika ila mwisho wa siku huku Africa ndio zinako leta madhara makubwa, kwanini? Ni kwamba huku zinafanyika katika namna ambayo ni FAKE.

Hili tatizo la udhibiti wa vyakula na vinywaji haliwezi kuisha kwasababu tuna wataalamu waliokariri masomo ya sayansi ambao hawawezu kui-navigate sayansi. HAWAJUI LOLOTE.
Ulaya pombe ni ghali watu wanakunywa kwa mahesabu makubwa sana.
 
Back
Top Bottom