johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.
Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu miongoni mwa adhabu ni kuzuiwa kuendelea na kampeni hadi siku ya uchaguzi ama kuondolewa kabisa kwenye orodha ya wagombea.
Chadema zingatieni kanuni adhabu ni kali.
Maendeleo hayana vyama!