mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,369
- 5,866
Hivi kuna kosa kubwa kama kuita watz wa upande mmoja watoto wa kambo? Je ikithibitishwa pasi shaka kuwa mgombea mmoja alifanya kikao na wateule wake dodoma uamuzi utakuwaje? Mahere watch we are watching you with an eagle's eye.Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.
Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu miongoni mwa adhabu ni kuzuiwa kuendelea na kampeni hadi siku ya uchaguzi ama kuondolewa kabisa kwenye orodha ya wagombea.
Chadema zingatieni kanuni adhabu ni kali.
Maendeleo hayana vyama!