Uchaguzi 2020 Kukiuka Maadili ya Uchaguzi kunaweza kupelekea mgombea kuzuiwa kufanya Kampeni hadi siku ya Uchaguzi au kuondolewa kabisa!

Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.

Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu miongoni mwa adhabu ni kuzuiwa kuendelea na kampeni hadi siku ya uchaguzi ama kuondolewa kabisa kwenye orodha ya wagombea.

Chadema zingatieni kanuni adhabu ni kali.

Maendeleo hayana vyama!
Hivi kuna kosa kubwa kama kuita watz wa upande mmoja watoto wa kambo? Je ikithibitishwa pasi shaka kuwa mgombea mmoja alifanya kikao na wateule wake dodoma uamuzi utakuwaje? Mahere watch we are watching you with an eagle's eye.
 
Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.

Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu miongoni mwa adhabu ni kuzuiwa kuendelea na kampeni hadi siku ya uchaguzi ama kuondolewa kabisa kwenye orodha ya wagombea.

Chadema zingatieni kanuni adhabu ni kali.

Maendeleo hayana vyama!
Mwambie Jiwe mbinu zake zote za kutaka kumwengua Lissu baada ya kikao cha Jana , linatambulika dunia nzima inafuatilia mtakwenda the Hague , mwambia afanye kampeni
Screenshot_20200927-201452.png
Screenshot_20200927-201048.png
Screenshot_20200927-194236.png
 
Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.

Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu miongoni mwa adhabu ni kuzuiwa kuendelea na kampeni hadi siku ya uchaguzi ama kuondolewa kabisa kwenye orodha ya wagombea.

Chadema zingatieni kanuni adhabu ni kali.

Maendeleo hayana vyama!
Vipi yule anyetishia wapiga kura kutopeleka maendeleo, yeye yuko sahihi? Ukisema wewe naamini.
 
Back
Top Bottom