johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hujabarehe kwenye akili zako wewe!Chama dhaifu na mgombea wake dhaifu wanategemea kubebwa!
Ndivyo mnavyopanga kumfanyia?Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.
Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu miongoni mwa adhabu ni kuzuiwa kuendelea na kampeni hadi siku ya uchaguzi ama kuondolewa kabisa kwenye orodha ya wagombea.
Chadema zingatieni kanuni adhabu ni kali.
Maendeleo hayana vyama!
mnajifanya wajinga sio!Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.
Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu miongoni mwa adhabu ni kuzuiwa kuendelea na kampeni hadi siku ya uchaguzi ama kuondolewa kabisa kwenye orodha ya wagombea.
Chadema zingatieni kanuni adhabu ni kali.
Maendeleo hayana vyama!
JPM anapaswa awe wa kwanza kuitwa. NEC wanacheza na hatari.Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.
Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu miongoni mwa adhabu ni kuzuiwa kuendelea na kampeni hadi siku ya uchaguzi ama kuondolewa kabisa kwenye orodha ya wagombea.
Chadema zingatieni kanuni adhabu ni kali.
Maendeleo hayana vyama!
Naona mmeamua kurudisha mpira kwa kwa kipaNapitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.
Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu miongoni mwa adhabu ni kuzuiwa kuendelea na kampeni hadi siku ya uchaguzi ama kuondolewa kabisa kwenye orodha ya wagombea.
Chadema zingatieni kanuni adhabu ni kali.
Maendeleo hayana vyama!
ndiyo mmepanga hivyo na watu wenu wa NEC? mmeshachelewaNapitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.
Kiukweli hawa wagombea waliosaini kuziheshimu na kuzizingatia kanuni hizi halafu baadae wanazikiuka sijui wanajiamini haswa kwa sababu miongoni mwa adhabu ni kuzuiwa kuendelea na kampeni hadi siku ya uchaguzi ama kuondolewa kabisa kwenye orodha ya wagombea.
Chadema zingatieni kanuni adhabu ni kali.
Maendeleo hayana vyama!
Jiwe sheria anazifuata .?Chadema wametuletea mgombea Urais Mwanasheria asiyetaka kufuata sheria.
Jiwe kakiuka sheria mara ngapi? Kwa nini haitwi?Chadema wametuletea mgombea Urais Mwanasheria asiyetaka kufuata sheria.
Wajaribu waone..Napitia hapa kanuni za maadili wakati wa uchaguzi mkuu.