Unaendaga chooni na wanaume wenzio?Swali, hivi ile issue ya kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana hasubuhi alafu unajamba pyeeee inatokana na nini,?
Unaweza ukaona utani ila ukiwa kwenye nyumba za kupanga ni nouma yaani shwaaaa pyeeeeππππ
Unapata fezeha atari π€© yaaani pyeeee
Tunaomba Ushauri jinsi ya kuzuia