Kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana asubuhi halafu unajamba inatokana na nini?

Kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana asubuhi halafu unajamba inatokana na nini?

Mimi ningekuwa Lissu nikitoka jela wapumbavu Kama hawa siwapambanii tena
 
Tumbo linakuwa limejaa hewa kutokana na zoezi la umeng'enyaji chakula ambapo unatoa gesi/hewa chafu iliyozalishwa mwilini na kuufanya mwili urejee katika hali ya kawaida, pia mkojo mwingi kwa sababu maji ya mwili yanakuwa yamechujwa kwa wingi na kutolewa taka kwa njia ya mkojo.​
 
General quarters, general quarters! All hands man your battle stations!
 
KUJAMBA WAKATI WA KUKOJOA, NI KITENDO KINACHOWATOKEA KWA WANAUME WALIO LIJALI.
HALI HIYO HAIWATOKEI KWA WANAUME WANAINGILIWA, NA WAKITAKA KUJALIBU KUJAMBA WANAJINYEA.
 
Na unasikia ukijamba kabisa basi hupati Ile kitu moyo inataka yaani mda wa kuchakata
K hupaswi kuwaza vingine YAAANI NI ATEEENTION ATIIIIZ
Wenzako huwa tunawaza na athumani anasinyaa tunasepa
Tumia nguvu zako vizuri muda mchache mambo mengi.
Wanawake huwa wanawaza hadi marejesho na kukumbuka ujinga uliomfanyia ila anakuzuga na kelele anasubiri umtoe au umpe ulichomuahidi ukimaliza
 
Swali, hivi ile issue ya kukojoa haswa kwa WANAUME sana sana hasubuhi alafu unajamba pyeeee inatokana na nini,?

Unaweza ukaona utani ila ukiwa kwenye nyumba za kupanga ni nouma yaani shwaaaa pyeeee😂😂😂😂

Unapata fezeha atari 🤩 yaaani pyeeee

Tunaomba Ushauri jinsi ya kuzuia
Yote kwa yote unakua unaondoa taka mwili,usione haibu,utaumiza bure mwenyewe,,kwa wa asia fulani wanaotumia pia pili pili kwa wingi hiyo ni kawaida hadi maofisini kwao,usijibane bane,lkn je kwa wanawake mbona huwa haitokei kabisa, please toeni maoni yenu hapa,ipi siri ya mafanikio yenu!!?
 
Kwa uwelewa wangu huwatokea watu ambao mara nyingi wakati wa usiku ula chakula kingi (heavy duty) na huupa wakati mgumu mfumo wa umengenyaji chakula na kupelekea mfumo kuflash chakula tumboni na kukibadili kuwa takataka bila kuchuja virutubisho vyakutosha. Mwendelezo wa tabia hii huweza kuleta matatizo ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula ikiwemo hii hali. Hivyo ni vyema kula chakula chepesi na mapema au kula matunda au salads.
Kimsingi jua linapozama uwezo wa mwili kumeng'enya chakula hupungua, kwa kawaida mwili huwa kwenye fasting mode / funga ifikapo usiku ndio maana chakula cha asubuhi huitwa "break-fast" kwa maana "vunja funga"/ futari.
Ni rahisi kuvimbiwa usiku kuliko mchana.

Sababu nyingine inawezakuwa ni kuwa na mucus ( inflammation) kwenye utumbo hasa kama kinyesi kinatoka kikiwa na uteute/ mucus (kama makamasi) au kinatoka kama kinyesi cha mbuzi. If xo tafuta tiba au badili lishe yako na timing ya kula iboreshwe.
 
Kaza tako hilo fala wewe acha kujilegeza mtoto wa kiume.
 
Back
Top Bottom