Kukojoa ndani ya swimming pool sio uungwana

Kukojoa ndani ya swimming pool sio uungwana

Me kuna mahali nilienda na hapa dar pool yao imeunganika na bar kuna jamaa walikuwa ndani ya pool wakipiga soga huku wakinywa bia
Nilikaa hapo kama 3 hours sioni wanaenda chooni nikaambia yule nilikuwa nae hapa siyo pazuri 🤣 🤣 🤣
😀😀😀 wanywa bia ndani ya swimming pool ,hapo watakua walikua wanamalizia humo humo aargh
 
Me kuna mahali nilienda na hapa dar pool yao imeunganika na bar kuna jamaa walikuwa ndani ya pool wakipiga soga huku wakinywa bia
Nilikaa hapo kama 3 hours sioni wanaenda chooni nikaambia yule nilikuwa nae hapa siyo pazuri [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]

small planet tabata bima
 
Nalishusha kojo vizuri sana kwenye swimming pool kwa sababu najua wote nao wameshashusha mzigo huko
 
Dah! Baada ya kunywa vikombe kadhaa unakaa sawa unakutana na kimba linaelea pembeni yako😂😂😂😂. Dah tuko mbali sana na ustaarabu!
Nalog off
 
Ndio maana sisi Wazungu we never share same pool with you niggas, you black people can't keep hygiene n you are not civilized at all. We taught you civilization bt u failed to cope with the clean world

We can share with you same plate of meal, same football pitch or basketball court but not a pool to swim.

U change a clean pool to your latrines and serve yourself in there, f*ck

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me kuna mahali nilienda na hapa dar pool yao imeunganika na bar kuna jamaa walikuwa ndani ya pool wakipiga soga huku wakinywa bia
Nilikaa hapo kama 3 hours sioni wanaenda chooni nikaambia yule nilikuwa nae hapa siyo pazuri 🤣 🤣 🤣
🤣🤣🤣🤣
 
Aisee hata Mimi nikifikiriaga ayo nashindwa kabisa,, mwingine anaenda toilet, kuchamba anakuja kuchambia kwenye swimming pool kimtindo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah kuogelea kwenye swimming sio ujanja ni ufala tu bora swimmng yako private lkn sio zile za wap cjui nyomi la kufa mtu
 
siwezi banwa mkojo nkatoka kwny pool, hii mtansamehe. unatoka kiswimming cost kmekushika bara bara, watu mimacho kodo. mi nktoka kwny swimming jua sirud tena humo
I'll never swim in the pool for God sake 🤣🤣🤣🤣
 
Tabia hii ipo kwetu wakina dada, yani tukisha ingia ,labda kwa zile nguo zinachora"k" ilivyo mtu anaamua abaki ndani , anakojoa huko huko we utashangaa tu ukioga unawashwa.
wengine pia unakuta MTU YUPO HEDHI ila analazimisha kuoga, nayo mbaya sana hii, unakuta maji yanakuwa na rangi ya ajabu.
Tubadilike.
Kumbe we ni mwanamke? Aysee
 
Back
Top Bottom