financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
😀😀😀 wanywa bia ndani ya swimming pool ,hapo watakua walikua wanamalizia humo humo aarghMe kuna mahali nilienda na hapa dar pool yao imeunganika na bar kuna jamaa walikuwa ndani ya pool wakipiga soga huku wakinywa bia
Nilikaa hapo kama 3 hours sioni wanaenda chooni nikaambia yule nilikuwa nae hapa siyo pazuri 🤣 🤣 🤣