Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti ni kama pete na kidole 😅😅😅Sleep apnea ni case ya uzito ile.. mtu akiwa mnene anajaa nyama na mafuta. Ikiwa ile sehem ya kupita hewa kooni imejaa nyama shaur ya uzito, hivyo uzito ule unasabaibisha inajigandamiza akilala. So inavyojigandamiza inasababisha njia ya hewa inakuwa nyembamba na inazuia punzi kupita kirahisi. Punzi inavyolazimisha kupita pale inaleta vibration. Ndo mana kipindi mtu analia kama jenereta hata pumua yake unaiona "Kriiiiiiii" na mitetemo kooni
Suluhu ni kupungua unene, wanene na kukoroma ni kama pete na kidole
Tabia ni kitu ambacho unakifanya concioussly. Kukoroma is beyond one's control haiwezi kuwa tabia.Tabia ya mtu kama tabia tu
Kumbe!! Doh nilikua sijui!