Kukoroma kunasababishwa na nini?

Kukoroma kunasababishwa na nini?

Sleep apnea ni case ya uzito ile.. mtu akiwa mnene anajaa nyama na mafuta. Ikiwa ile sehem ya kupita hewa kooni imejaa nyama shaur ya uzito, hivyo uzito ule unasabaibisha inajigandamiza akilala. So inavyojigandamiza inasababisha njia ya hewa inakuwa nyembamba na inazuia punzi kupita kirahisi. Punzi inavyolazimisha kupita pale inaleta vibration. Ndo mana kipindi mtu analia kama jenereta hata pumua yake unaiona "Kriiiiiiii" na mitetemo kooni

Suluhu ni kupungua unene, wanene na kukoroma ni kama pete na kidole
Eti ni kama pete na kidole 😅😅😅
 
Mimi nikilala Chali tu hata kama ni mchana nakoroma hii inaweza kuwa sababu ni nini??
 
Back
Top Bottom