kanamaheri
Member
- Sep 24, 2021
- 99
- 84
Kwa muda mrefu watanzania wachache walio pewa dhamana ya kuisimamia bandari yetu kuu ya Dar es salaam walikula bila kunawa, mizigo ya watu ilipotea, enzi za uwaziri wa mwakyembe kontena nzima ya vitenge ilidhibitika kupotea kontena ya mama kutoka zambia, waziri alitoa masaa kontena ikapatikana.
Unajiuliza kwa wakati huko na sasa kontena lilinapoteaje lili tembea!!! lakini jibu uaminifu kwa watanzania wenzetu ni sifuri, walisoma kwa gharama za walipa kodi maskini wa nchi hii na return yao kutoka kwale wale waliotumia kodi zao ni kuibia nchi yao.
Leo tunayaona na kuyasikia yanayoendelea waliotufikisha tulipo ni watanzania wenyewe, wakubwa wanafikiri pengine tukiifanya kama wanavyotaka kufanya tutaona tija yake.
Pamoja na tija hiyo tusilidhike na hiyo trilion 26 kwa mwaka. Nilitamani mtafute watu wakuisimamia bandari TPA waadirifu hata sijui mtapata wapi maana na kama kontena linaweza kupotea mbele yao na mifumo kuwepo!!!
Kukosa uaminifu watanzania wenzetu wanatufikisha tunakoelekea.