Kukosa credibility kwa tuliokuwa tunawapa kusimamia bandari yetu destiny yake ndio haya DP

Wanaolaumu uongozi wa TPA au mwekezaji wa awali (Ticts) ataje Shirika lolote la Umma lililofanya kwa ufanisi na tija. Ukweli ni kwamba mfumo wa uteuzi na uwajibishaji wa Wakuu wa mashirika ya umma ndiyo mbovu, au usimamizi wake ni dhaifu.

Hivyo, basi tutegemea bandari kugeuzwa shamba la bibi, DPW itakapoanza kazi, kwa jinsi ile ile madini na maliasili zingine zinavyochotwa.

Nasimamia kumpongeza Mwendazake kwa jinsi alivyosimamia rasimali za Taifa.
 
Haya ni matokeo ya mtu amabye alitakiwa kuwa mama wa nyumbani kupewa urais. Vision zero. Anafikiri kwenye kusaidiwa tu. Inaonekana hata culture ya sehemu alikokulia inamfanya mwanamke ajione ni kiumbe kinachostahili kufanyiwa mambo watu wenye uwezo.

Hoja yako ni sahihi kabisa. Mwanamke hata akiwa na utajiri bado atataka mwenza wake amsaidie.

Mwanamke aliumbwa kuwa msaidizi wa mwanamme na si vinginevyo, kama ilivyoandikwa kwenye Biblia, Kitabu cha Mwanzo 2:18, 21, 22 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye. Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake, na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
 
Kwani Ticts si wapo miaka 30 hapo ?
TPA unawalaumu Kwa kipi??
TICTS iliingia mkataba wa kimagumashi kwa mtindo huu huu unaotaka kufuatwa na DPW. Hivi ni vita vya vigogo wa kambi ya TICTS wanaonyang'anywa tonge nono dhidi ya kambi mpya ya DPW.
 
Haya ndio ili kuondoa Kunguni ndani ya godoro lako chumbani unaamua kuchoma moto ghorofa zima....; Cha ajabu zaidi wanaokusifia ni baadhi ya wananzengo, ambao na nyumba zao zinaweza kuungua kwa maamuzi yako...
 
TICTS iliingia mkataba wa kimagumashi kwa mtindo huu huu unaotaka kufuatwa na DPW. Hivi ni vita vya vigogo wa kambi ya TICTS wanaonyang'anywa tonge nono dhidi ya kambi mpya ya DPW.
Exactly
 
Yaani aiseee..kwa kweli kama ingewezekana, ni kuondoa wafanyakazi wote kuanzia menejmenti hadi kibarua( wanaweza bakiza wachache tu) na kuajiri watu wapya wenye uchungu, wasio wabinafsi na wenye tija Kwa nchi kwenye hiyo bandari...bora kuanzia upya kwenye 'clean slate... manake awamu zote ni kama vile zimeshindwa kuondoa tatizo hilo sugu kwa miongo yote.
 



Kwani hao wanaoamua lazima hii ndo iwe destiny? Basi wabinafsishe Bunge..
 
- Je ile 'ofisi nyeti' ikikosa credibility nayo tuwape wageni milele?
  • Maskini naye mtu hata kama hana kitu.
  • Je unaweza kujisifia ukiwa na 'wanaume' wenzako kuwa kwako kumeendelea ili hali mpaka viunga vya maua wanahudumia wageni? Na umeutangazia umma kuwa 'watoto' wako ni goigoi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…