Walimu ajira mpya ya mwezi Februari 2026 katika Halmashauri ya URAMBO-TABORA, hadi sasa hatujalipwa Pesa ya Kujikimu.
Tukiuliza Ofisi za Utumishi hatupewi majibu yanayoeleweka; hili linatukatisha tamaa, hatujui cha kufanya.
Kucheleweshewa pesa za kujikimu siyo tu kunauwa morali yetu bali pia kunakiuka malengo ya pesa hiyo, kwani ilipaswa ilipwe mara tu tuliporipoti kazini.