DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
[emoji4]wazee wa fursaNi ngumu kupata jibu kwa sababu ya tatizo hilo linasababishwa na changamoto nyingi: za kisaikolojia, kibailojia na mtindo wa maisha
All in all, Sababu zote zinaeñda kudelay uzalishwaji wa homoni ya testosterone ambayo ndio kichocheo kikuu cha hisia za kimapenzi (sexual drive)
Unaweza ukawa na changamoto o za
[emoji2389] Kibailojia kama vile uzito mkubwa, presha, kisukari, magonjwa ya moyo, Hormonal imbalance (mvurugiko wa homoni), nk
[emoji2390] Matatizo ya kisaikolojia: huzuni na msongo wa mawazo
[emoji2391]Mfumo wa maisha: Ulaji wako, unywaji wako, ulaji wako, kufanya mazoezi vyote vinachangia kwenye tatizo
Mahojiano ya kina yanahitajika,,
Kama hautojali karibu pm, Mimi ni ambassador wa kampuni ya forever, for sure nimewasaidia watu wengi kwenye changamoto za kiafya ikiwemo Upungufu wa nguvu za kiume
karibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app