Kukosa Hela

Kudai ndugu deni kazi jaman

Watu kibao tu ambao ni ndugu nimeamua kuwapotezea wanakera sana
Ukiwanyima wanakusimanga kama wanakusaidia kutafuta hizo pesaaa
Mi sinaga mazoea mazoea na ndugu hivgo mtu kuanza kunikopa kazi sana labda kuomba na kama ninayo nampa ila kumkopesha ndugu hapana. Rafiki wenyewe nimejifunza kutowakopesha.
 
Pesa za kudai, nishafanya kusamehe na nimekoma mie mtu sasa akija na kuniambia anahitaji nimkopeshe nahesabia nimetoa tu, akilipa sawa asipolipa hewala ila natoa ile pesa ambayo si ya mipango na iwe ndogo ndogo ila pesa nyinging nimekoma labda awe mtu wangu wa karibu sana

Ukata umenishika ila nikihesabu pesa zilizo kwa watu, najisikia unyonge tu.
 
Muite Mshana pengine ana dawa ya kulipwa deni atugaie
Walikuwa na tabia ya kuniomba pesaa ndogo ndogo toka niwakopeshe naona wamepunguza kabisa hata hivyo mashukur

Kero ndogo ndogo zimepungua

Alafu wanaosumbua ni hivi vidada vimemaliza chuo havitak kufanya kazi

Vinasubiria magufuuli achekeeee

Ni shida sana
 
Kote nasoma naona watu mnadai tu hakuna anaedaiwa?

Anyways mimi na mambo ya kukopeshana ni vitu viwili tofauti. Heri uniambie nisaidie kuliko kuniambia nikukopeshe maana najua tutaishia kugombana
 
Naomba nikopeshe hela ndogo ndogo mkuu
 
Mi sinaga mazoea mazoea na ndugu hivgo mtu kuanza kunikopa kazi sana labda kuomba na kama ninayo nampa ila kumkopesha ndugu hapana. Rafiki wenyewe nimejifunza kutowakopesha.
Aisee kuna ndugu anakuja anakwambia niazime kiasi flan baada ya hapo sahau
Anajua akikuomba utamwambia huna
 
Hao sasa daah!!staki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…