Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hufai kuwa mwalimu weweMimi nikikosa hela huwa nawanunia watu woteeee nafura kwa hasira
Muite Mshana pengine ana dawa ya kulipwa deni atugaieAisee kuna ndugu zangu nimewakopesha helaa naona mpaka aibu kuwadai
Sjui wamesahau hapa napanga bomu la nyuklia nitawapiga nalo mpak wanichukie
Saivi mwezi wa tatu unaisha wapo kimya wakat walisema week moja tu
Wanaboa,cjui wanadhani sie hatuishiwi,kuna mda mtu unaishiwa mpaka unajiogopaMimi nimelipia kodi toka November akaniambia atanirudia hela yangu mpaka leo kimya halafu nikimdai analeta kiswahili.
Kudai ndugu deni kazi jamanMimi nimelipia kodi toka November akaniambia atanirudia hela yangu mpaka leo kimya halafu nikimdai analeta kiswahili.
Aiseee kweli sifaii hata kidogo maana sio kwa stress hizoooHahaha hufai kuwa mwalimu wewe
Mi sinaga mazoea mazoea na ndugu hivgo mtu kuanza kunikopa kazi sana labda kuomba na kama ninayo nampa ila kumkopesha ndugu hapana. Rafiki wenyewe nimejifunza kutowakopesha.Kudai ndugu deni kazi jaman
Watu kibao tu ambao ni ndugu nimeamua kuwapotezea wanakera sana
Ukiwanyima wanakusimanga kama wanakusaidia kutafuta hizo pesaaa
Walikuwa na tabia ya kuniomba pesaa ndogo ndogo toka niwakopeshe naona wamepunguza kabisa hata hivyo mashukurMuite Mshana pengine ana dawa ya kulipwa deni atugaie
Utawauwa watoto wetu weweAiseee kweli sifaii hata kidogo maana sio kwa stress hizooo
Naomba nikopeshe hela ndogo ndogo mkuuPesa za kudai, nishafanya kusamehe na nimekoma mie mtu sasa akija na kuniambia anahitaji nimkopeshe nahesabia nimetoa tu, akilipa sawa asipolipa hewala ila natoa ile pesa ambayo si ya mipango na iwe ndogo ndogo ila pesa nyinging nimekoma labda awe mtu wangu wa karibu sana
Ukata umenishika ila nikihesabu pesa zilizo kwa watu, najisikia unyonge tu.
Aisee kuna ndugu anakuja anakwambia niazime kiasi flan baada ya hapo sahauMi sinaga mazoea mazoea na ndugu hivgo mtu kuanza kunikopa kazi sana labda kuomba na kama ninayo nampa ila kumkopesha ndugu hapana. Rafiki wenyewe nimejifunza kutowakopesha.
[emoji3][emoji3][emoji3] polee jamanBora Wewe uliyekosa tu Hela Mkuu kwani mwenzako Mimi nimekosa Hela, Mbunye na hata Kipaji changu cha Kutongoza nacho siku hizi Kimetoweka kabisa kwenda Kusikojulikana hivyo mambo kuwa ' valuvalu ' tupu.
Hao sasa daah!!staki kabisaWalikuwa na tabia ya kuniomba pesaa ndogo ndogo toka niwakopeshe naona wamepunguza kabisa hata hivyo mashukur
Kero ndogo ndogo zimepungua
Alafu wanaosumbua ni hivi vidada vimemaliza chuo havitak kufanya kazi
Vinasubiria magufuuli achekeeee
Ni shida sana