Kukosa pesa ni kipimo tosha cha kutokuwa na akili

STEYAN MEJA

New Member
Joined
May 15, 2024
Posts
4
Reaction score
26
Kama hutaki njoo Niue nipo tandale huku naishi chumba Cha Giza Cha Kodi ya TSH 25,000/= ( simu zangu naachaga Kwa mangi kipindi Cha mvua maana mafuriko yakitokea huenda yakaondoka na simu zangu 😂😂🙌 )

Sikia rafiki ikiwa unafanya kazi ya ulinzi kama Mimi😂 ya kulipwa 120k per month siyo case tumia akili TU utakuwa tajiri tena mkubwa, sikia wee jamaa unaepiga mishe za kuunga unga Leo una kazi alafu siku 3 nyingine huna kazi ila ukipata kazi unapata Hela ndefu🙌 japo unaipata siku 2 then siku 4 zijazo huna kazi😥

Sikia wewe mfanyabiashara Leo unauza alafu siku 3 zijazo huna mteja hata mmoja hii makala inakuhusu...sikia wewe mwalimu unaelipwa 350k mwisho wa mwezi kama take home hii makala nayo inakuhusu...

Ni hivi matumizi sahihi ya akili yatapelekea wewe kuwa na Hela nyingi sana na mbele ya jamii utaonekana una akili maana exhibit IPO ambayo ni pesa , nikusanue ndugu yangu KIPIMO halisi Cha kuwa na akili ni kuwa na Hela hakuna KIPIMO.kingine ktk haya maisha ya mtaani Mzee, kule shuleni ilikuwa KIPIMO Cha kuwa na akili ni kujibu mtihani vizuri na kufaulu vizuri.

Haijalishi umesoma au hujasoma ukishakuwa na Hela una akili automatically na ndivyo watu wanakuchukulia hata kama huna akili kweli pesa yako inakutetea na kuthibitishia umma kuwa una akili na ukiongea wanazingatia hata kama ni pumba maana wanasema BILA akili asingepata hiyo pesa ngoja tumsikilize huenda na sisi tukaipata kama yeye yaani unakuwa role model wa watu wengi.

Sikiliza ndugu kuwa na budget ya pesa Yako , ukipata Hela yako hususani mshahara chukua 40k nenda sokoni

Nunua mahindi kg 5 TSH 7500 yasage Kwa tsh 500 inakuwa jumla 10k siyo hesabu halisi ila haipishani na hiyo niliyopiga hapo.

Nunua mchele kg 3 ule wa bei rahisi 6k

Nunua mafuta Lita 1 TSH 5k ya kupikia.

Nunua chumvi ya jero ya ( tsh 500 )

Nunua dagaa wako kg 1 TSH 8000 dagaa wa mwanza au dagaa nyama wale they are rich in minerals

Nunua mkaa wako wa 5k

Nunua kiberiti chako Cha ges Cha jero yaani tsh 500

Nunua nyanya zako za 1k

Vitunguu vyako vya 2k robo kilo

Chukua maji dumu za Lita 20, weka kwenye diaba weka hapo ndani .

Nunua sabuni vipande viwili vya jamaa TSH 1600

Total ni tsh 44,600/=

Hii ni budget itakayokupeleka takribani week 2 na ushee unakula kwako unashiba kabsa, maji ya kunywa unachemsha Lita 2 unaweka kwenye beg asubuhi unaenda nayo kwenye mishe zako

Hii ni Kwa wale wenye mshahara.

Ila wale tunaounga unga
Chukua 20k lako mkuu
Nunua mahindi kg 2 ni buku 3 au buku 4 TU mkuu yasage fresh Kwa tsh 200

Nunua chumvi ndogo ya 200
Mchele kg 2 TSH 4000

Mafuta robo ya 1k I mean mafuta ya kula

Dagaa zako nusu TSH 3500

Na mkaa wako wa buku 3
Kiberiti Cha ges Cha jero ( 500)

Acha buku 4 ya balance ya maji na mboga za majani

Total ni tsh 19000 hivi

Hapo utakula week nzima, hivyo Hela itakayokuwa inapatikana inakusanywa na kutunzwa, hapo utatenga ya kuwekeza na nyingine Kwa ajili ya budget ya week inayofuata

Kumbuka Kuna materials nyingine hazitaisha mfano kiberiti hasa Cha ges, chumvi, na vitunguu

Hivyo week linalofuata utanunua mchele, mahindi , na dagaa pamoja na mafuta na nyanya...nyanya nunua sokoni mtaani jau.

Hivyo Hela inayobaki wekeza kwenye biashara zinazoingiza pesa Anza kidogo kidogo usisubiri adi uwe na Hela ya mtaji ya kutosha Hela haitoshagi lakini nakuambia Anza na kidogo ulichonacho just begin milango itafunguka huko mbeleni just begin my friend, weka aibu pembeni na kuwaza watu wanakusemaje Mzee...hakuna mtu anayekuwaza wewe hata wakikuwaza na kukusema mwishowe watachoka na wakuappreciate na kusema jamaa ana akili.

Sasa wewe unapata Hela sawa ila unakula Kwa mama ntilie asubuhi 2k chapati 3, supu na maji ya TSH 600

Mchana 3k wali nyama , soda na maji

Jioni 3500 wali nyama au chips , soda tena Pepsi , maji , Bado ujanunua bundle la gb 1 la TSH 2100 wakati Kuna vifurushi vya gb 1 TSH 800 ungenunua hivyo gb 15 unakuwa umebudget bundle lako mwezi MZIMA Kwa 15k

Ila Kila siku 2100 gb 1 au 1000 mb 490 rafiki yangu ktk umaskini huchomoki dadeki

Hapo Kwa siku TU umetumia 10k na ushee Bado hujahonga Bado wewe dada badala ya kupanda daladala ya nauli ya jero unapanda bajaji ya nauli ya buku 3 au pikipiki ya nauli ya 2k

Nakuambia uchomoki mwezi unatumia 350k na unalipwa 550k Bado mdogo wako atake Hela hapo umpe 20k, wazazi 40k wagawane mh🤔🤔🤔

Ukiwa unajitafuta hata wazazi usiwape Hela yako kizembe jiimarishe kwanza ktk vyanzo vya mapato ambavyo vinakuingizia Hela nyingi... ndipo unaweza kuwapa percentage fulan na uzuri wenyewe wazazi huwa ni waelewa.

Sasa wewe toa toa TU Ili uonekane una Hela au ni mtoaji sana kumbe nothing in your pockets

Wewe Kila ukipata Hela ni nguo Kali unaenda kununua , sijui saa Kali, sijui kofia Kali , sijui simu Kali ... brother huu umaskini unaoutafuta Kwa Kasi utakuua japokuwa unapata pesa mkuu

Wewe ukipata Hela unawaza TU mademu na kuwahonga Ili uonekane una Hela ndio wamekupa nyuchi then wamekuacha broke ni Nini Sasa hiyo unatia huruma na kucheza rege ktk maisha.

Umepata hela TU unaenda nunua mapombe na kujirusha mahotel makubwa makubwa pia kununulia washikaji mapombe na mademu Ili uonekane master brother unapokuwa huna Hela tukisema huna akili ukubali na ujirekebishe.

Trust me Hela hazikaagi Kwa mtu asiyekuwa na akili

Wew dada ukipata TU vihela umehongwa Cha kwanza unaenda nunua kitanda kikali, shuka, sijui jiko la ges, sijui IST nakuambiaje matumizi mabovu ya akili yatautesa mwili wako sana hususani sehemu za Siri

Unapopata pesa ukitaka kujua una nyota ya utajiri utawaza kwenda kuiwekeza kwenye assets zinazokuingizia Hela zaidi, kwako pombe mwiko, midemu mwiko, sigara mwiko all unnecessary things unaachana nazo

Kumbuka waliosema no pain no gain hawakukurupuka walijiumiza Kwa muda na wakaweka malengo na kuyafanyia kazi kwa vitendo then boom wakawa na Hela na Sasa Bado Hela zinajaa kwao na wanaonekana Wana akili mbele ya jamii

Nasemaje kuwa na pesa ndio KIPIMO Cha akili...ukikosa pesa huna akili njoo Niue kama vipi nipo huku tandale...achana na Mimi bwana 😂😂

Alafu hii misemo yenu ya pesa siyo Kila kitu ndio chanzo Cha ukosefu wako wa pesa na ndio umaskini wako unaanzia hapo

Oh hakuna tuzo ya utesekaji Bora 😥😥 utasubiri sana tuzo ya anasa Bora na hutokaa uipate, nikuambie rafiki tuzo ya utesekaji Bora IPO asilimia 100 Kwa wenye akili wewe usiyekuwa na akili ndio huwezi ipata kamwe..

Acha hizi mindset za kimaskini

Mara oh pesa siyo Kila kitu , kama siyo Kila kitu mbn Kila mtu anapambana kuitafuta...tafuta hicho kilicho Kila kitu kwako achana na hii misemo ya kimaskini babu🤔🤔

Oh pesa hainunui upendo, mara pesa hainunui furaha...wewe huijui pesa tafuta pesa uwe nazo ndio utajua kuwa hainunui upendo au furaha... otherwise Baki na mindset zako hizi za kimaskini usubiri upendo huo ambao hautokani na pesa, furaha hiyo ambayo hautokani na pesa.

Sikia jinenee utajiri utaupata..ila ukijinenea umaskini na hizi points za kimaskini utakupata pia

Trust me kile unachokiwaza ndio unachokitenda, kile unachokitenda ndio tabia yako na ndio iliyokushape jinsi ulivyo Leo

Sasa endelea kuwa na points za kimaskini kwenye ubongo wako matokeo yataonekana TU ktk ulimwengu unaoonekana.

Hata maandiko yamesema wazi wazi kwamba jinsi ujionavyo ( unavyowaza) nafsini mwako ndivyo ulivyo.

Utajiri unaanzia kwenye akili

Change your mindset, change your life completely 🎉🎉🔥🔥
 
Umeongea ukweli mtupu hapa nilipo najiona sina akili mana asubuhi nmekunywa supu ya elfu 5 mchana napata msosi wa elfu 4 usiku nahis ntantumia elfu 3 ila hapana n hela zang natumia nnavyotaka na maisha n mafupi haya
Tumia pesa zako unazopata kwa jasho lako asikupangie mtu.

Atafute zake kwanza ajipangie yeye.
 
Maisha hayana formula mkuu mm kwa umri wangu huu nimeona mengi nimejua mengi kuna watu mjini wanapta pesa sababu wanapendeza yaani yeye ni kujiweka smart tu basi deal zinamiminika sasa mtu kama huyo ukimwambia asivae vizuri atakushangaa.

Alafu pesa ni connection tu siku utapopata watu au deals zenye mpunga ndio siku utatoboa.
 
Nakubaliana na ww mkuu, pesa ni mifumo tu
 
Mhh
 
Dah..
Kubajeti muhimu, lakini usijinyime sana hadi afya ikatetereka, maana bila afya njema hutoboi
 
Back
Top Bottom