Kukosea Kununua LUKU hadi Uandike barua ndio urejeshewe fedha yako?

Sozo_

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2022
Posts
776
Reaction score
1,132
Tusipotezeane muda niingie moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nilikuwa nanunua LUKU nikawa nimekosea namba moja nikawa nimenunua kwa mita namba nyingine.

Nimepiga simu nirejeshewe fedha yangu naambiwa hadi niandike barua. Hivi TANESCO hawawezi kuwa na mfumo kama wa mitandao ya simu ya kurejesha muamala wa mteja aliyekosea pasipo kumhangaisha na mizunguko kibao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…