Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

Tena mtandao wa airtel, wasukuma wasumbufu haijawahi tokea. Halafu wanaamini kila mtu anapaswa kujua lugha yao.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mi mpaka nimeacha kutumia huo mtandao
 
Sijui kwanini aisee..wasukuma na Waha sijui kuna tatizo gani huko,halafu kingine hata zile namba ambazo zinabadilishwa na kupewa mtumiaji mwingine baada ya mwenye nayo kuitelekeza nazo pia wanazielekezea huko si mara moja nakutana na kesi hizi
Nawa masai pia[emoji23]
 
😀😀😀 ngoja niwaitie ndugu zao watupelee salamu SHIMBA NGOSHA Shimba ya Buyenze kajekudya Kiranga Nyani Ngabu (huyu sijui yuko wapi siku hizi) Pascal Mayalla msukuma msweetie Sukuma gal Victoire ongezeni na wengine.
Mtuwache 😁😁😁

Screenshot_20220911-013012_Gallery.jpg


Mi mwenyewe huwa napiga namba random zisizopungua nne kila siku. Raha sana yaani 😁😁😁😁
 
Sijui kwanini aisee..wasukuma na Waha sijui kuna tatizo gani huko,halafu kingine hata zile namba ambazo zinabadilishwa na kupewa mtumiaji mwingine baada ya mwenye nayo kuitelekeza nazo pia wanazielekezea huko si mara moja nakutana na kesi hizi
Niidhani hili balaa linaniangukiaga mimi tu.Mara zote ni wasukuma
 
Watu wana kazi ya kufuatilia kabila la mtu na maisha yake kwa ujumla,, ndio maana wakenya, waganda, wa algeria, wamorocco, wamisry n.k wametuzidi mbali.
 
Mimi sio mfuasi wa kuponda makabila, nawapenda wote, hata mwenzi wangu sio wa kabila langu. Lakini najiuliza kwanini kila ninapopigiwa simu ya kukosewa huyo mtu anakuwa msukuma, kama sio mwanaume atakuwa mwanamke.

Nawajuaje? Mara nyingi husalimia kikwao, ama kuita majina yao, tunaposhindwa kuelewana huwa nawaambia wamekosea kupiga.

Wengine watarudia mara mbili au tatu na wakati umemwambia amekosea.
Hoja yangu ni kwamba kwanini wawe wasukuma tu? Ina maana nchi hii ina idadi kubwa ya Wasukuma? Au nini ndugu zangu?
Nilidhani wanakoseaga kwangu tu. Utasikia mama Matheyo ni weewe. Na hawa wa Iringa oia washanipigia mara 2. Ila wasukuna wamepiga wengi sana. Kuna mmoja hadi alisema mie nimempigia mume wake🤗 hahah. Labda hawajui kama kila mtu ana namba zake,wanapiga yoyote wanadhani ndugu zao watakimbiziwa simu mfano kwenye kijiji cha Dar🤣🤣
 
Back
Top Bottom