Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

Tena mtandao wa airtel, wasukuma wasumbufu haijawahi tokea. Halafu wanaamini kila mtu anapaswa kujua lugha yao.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]mi mpaka nimeacha kutumia huo mtandao
 
Sijui kwanini aisee..wasukuma na Waha sijui kuna tatizo gani huko,halafu kingine hata zile namba ambazo zinabadilishwa na kupewa mtumiaji mwingine baada ya mwenye nayo kuitelekeza nazo pia wanazielekezea huko si mara moja nakutana na kesi hizi
Nawa masai pia[emoji23]
 
Niidhani hili balaa linaniangukiaga mimi tu.Mara zote ni wasukuma
 
Watu wana kazi ya kufuatilia kabila la mtu na maisha yake kwa ujumla,, ndio maana wakenya, waganda, wa algeria, wamorocco, wamisry n.k wametuzidi mbali.
 
Nilidhani wanakoseaga kwangu tu. Utasikia mama Matheyo ni weewe. Na hawa wa Iringa oia washanipigia mara 2. Ila wasukuna wamepiga wengi sana. Kuna mmoja hadi alisema mie nimempigia mume wake🤗 hahah. Labda hawajui kama kila mtu ana namba zake,wanapiga yoyote wanadhani ndugu zao watakimbiziwa simu mfano kwenye kijiji cha Dar🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…