Introsagvert
JF-Expert Member
- Sep 9, 2019
- 1,459
- 3,020
Jingine idadi yetu ni kubwa mnooSijui kwanini aisee..wasukuma na Waha sijui kuna tatizo gani huko,halafu kingine hata zile namba ambazo zinabadilishwa na kupewa mtumiaji mwingine baada ya mwenye nayo kuitelekeza nazo pia wanazielekezea huko si mara moja nakutana na kesi hiz
Tunapoteza Sana line. Matokeo yake anapewa mtu mwingine.
Kama wasukuma wanafikia kiasi cha 6m/7m tambua tumezagaa Tanzania nzima.Nikifikiria na mimi Wasukuma ni wengi mno waliokosea.
Nikusaidie Tu.Mimi sio mfuasi wa kuponda makabila, nawapenda wote, hata mwenzi wangu sio wa kabila langu. Lakini najiuliza kwanini kila ninapopigiwa simu ya kukosewa huyo mtu anakuwa msukuma, kama sio mwanaume atakuwa mwanamke.
Nawajuaje? Mara nyingi husalimia kikwao, ama kuita majina yao, tunaposhindwa kuelewana huwa nawaambia wamekosea kupiga.
Wengine watarudia mara mbili au tatu na wakati umemwambia amekosea.
Hoja yangu ni kwamba kwanini wawe wasukuma tu? Ina maana nchi hii ina idadi kubwa ya Wasukuma? Au nini ndugu zangu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtuwache [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2353240
Mi mwenyewe huwa napiga namba random zisizopungua nne kila siku. Raha sana yaani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Tulieni na simu zenu[emoji1435]Jamiiforum raha sana kwa kweli[emoji1]
Huu uzi tayari kila member anayechangia kashapigiwa simu na msukuma kwa kukosea namba
DOLEKAGI NABO SHAMBA BUSE
Sijaelewa[emoji16]Mabūtumbasu gabo dūhū bageshi [emoji51][emoji51][emoji51]
Unachukua namba yako au ya mtu ye yote kwenye contact list yako halafu unabadilisha namba moja ya mwisho, mwanzoni au katikati halafu unapiga. Lazima utakutana na mtu tu hata iweje.Wasukuma oyeeeeeeee
Kazi na iendelee[emoji7]
Aha ha ha aNyanoko ing'we
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unachukua namba yako au ya mtu ye yote kwenye contact list yako halafu unabadilisha namba moja ya mwisho, mwanzoni au katikati halafu unapiga. Lazima utakutana na mtu tu hata iweje.
Ila leo nimepiga nikakutana na Msukuma mwenzangu halafu wagūkaya kabisa tumeishia kupiga stori tu. Nimepiga nyingine nimekutana na Mpemba sijui maana Kiswahili chake kikali mpaka siyo poa yaani. Hapa nataka nipige ya mwisho kwa leo. Usije ukashangaa inakuangukia wewe mjukuu. Ajenda ya leo kila ninayempigia namuuliza kama ni memba wa JF [emoji16]
Mimi hapa nina watoto tisa na bado naongeza wengine. Ni kufyatua tu yaani.Ila daah!mnajitahidi kuongeza binadamu duniani.mwingine alinambia ni Nehema yupo kwimba!