Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo.

View attachment 2989668

Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo.

Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari zinazounganisha eneo hilo na dunia nzima kupitia Afrika Kusini, mtaalam wa sekta hiyo Ben Roberts aliambia BBC.

Hali kama hiyo ilishuhudiwa katika sehemu za Magharibi na Kusini mwa Afrika mwezi Machi.

Cloudflare Radar, ambayo inafuatilia uunganishaji wa intaneti, imesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoathirika zaidi na trafiki kushuka hadi asilimia 30 ya viwango vinavyotarajiwa.

Gazeti la Citizen la Tanzania lilieleza kilichotokea kama "kuzimwa kwa mtandao ambao kumeathiri njia kuu za mtandao".

Safaricom, pia nchini Kenya, ilisema "inakabiliwa na changamoto". Airtel Uganda imesema inafahamu kuhusu "huduma ya mtandao ya mara kwa mara".

Na MTN Rwanda ilisema kulikuwa na "suala la uharibifu wa uhusiano wa kimataifa". Malawi, Msumbiji na Madagascar pia zimeathirika kulingana na Cloudflare Radar.

Bw Roberts, kutoka kampuni ya pan-Africa ya Liquid Intelligent Technologies, alisema kuwa amethibitisha kuwa kebo moja inayopitia kando ya pwani ya Afrika Mashariki, inayojulikana kama Eassy, ilikuwa imekatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban.

Kebo nyingine pia ilikatwa. Alipuuzilia mbali uwezekano kwamba huenda ni hujuma na uongeza kuha hali kama hiyo wakati mwingine hutokea kwa bahati mbaya.

Kebo zingine zinazounganisha Afrika Mashariki na Ulaya pia zinapatikana na hatua kwa hatua huduma inapaswa kuboreshwa kwani data inapitishwa tena.

Lakini kwa vile makampuni mengi makubwa yana vituo vya data nchini Afrika Kusini uharibifu wa kiungo muhimu ambacho Eassy hutoa ulikuwa na athari kubwa.

Chanzo: BBC
Sasa kama nyaya imekatwa na wamejua ilipokatwa wapi si waunganishe tu chapa ngoma liamke tena mbona wanachukua muda sana.
 
Kwanini watanzania huko kwenye masomo ya Sayansi huwa mnasoma nini ?

Lini bara la Afrika litakuwa na uwezo wa kuzalisha yenyewe huduma ya internet bila kutegemea huduma kutoka kwa mzungu ?
Siwi tyna teknolojia ya kuwasilana kwa kutumia bakuli na sahani za maji.

Bora kuliko hii Internet.
 
Mshamba huwezi kuelewa hapo ulipo ukiambiwa define internet hujui

INSHORT UNAWEZA TENGENEZA NETWORK ILI UPATAE INTERNET LAZIMA UCONNECT NA GLOBAL INTERCONNECTED COMPUTER NETWORKS (INTERNET) SASA HAPO UNAITENGENEZAJE?

KAA KIMYA SIKU NYINGINE
Mwambie siku nyingine awe anauliza kwanza...
 
Habari hiyo hiyo kwa English version kuna podcast ndani yake.

Kwenye mahojiano mtaalamu ambae anamiliki kampuni ya kutandaza hizo cable baharini amesema sababu ambazo cable zinaweza snap trawl fishing, nanga za meli na underwater mad slide.

On average kwa siku duniani cable moja au mbili zinakatika na katika muda wake wa kazi ajawahi sikia sabotage.

Asilimia 99% ya mawasaliano duniani ni underwater cables ndio zenye uwezo wa kusafirisha data nyingi kwa mkupuo, satelitę aina uwezo huo, not reliable na gharama ni kubwa sana kushinda cables.

Kwanza kama satelitę ni asilimia 1% chances asilimia kubwa ya watumiaji wake ni security forces za nchi zilizoendelea na watu wanaosafiri maporini sana.
 
Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo.

View attachment 2989668

Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo.

Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari zinazounganisha eneo hilo na dunia nzima kupitia Afrika Kusini, mtaalam wa sekta hiyo Ben Roberts aliambia BBC.

Hali kama hiyo ilishuhudiwa katika sehemu za Magharibi na Kusini mwa Afrika mwezi Machi.

Cloudflare Radar, ambayo inafuatilia uunganishaji wa intaneti, imesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoathirika zaidi na trafiki kushuka hadi asilimia 30 ya viwango vinavyotarajiwa.

Gazeti la Citizen la Tanzania lilieleza kilichotokea kama "kuzimwa kwa mtandao ambao kumeathiri njia kuu za mtandao".

Safaricom, pia nchini Kenya, ilisema "inakabiliwa na changamoto". Airtel Uganda imesema inafahamu kuhusu "huduma ya mtandao ya mara kwa mara".

Na MTN Rwanda ilisema kulikuwa na "suala la uharibifu wa uhusiano wa kimataifa". Malawi, Msumbiji na Madagascar pia zimeathirika kulingana na Cloudflare Radar.

Bw Roberts, kutoka kampuni ya pan-Africa ya Liquid Intelligent Technologies, alisema kuwa amethibitisha kuwa kebo moja inayopitia kando ya pwani ya Afrika Mashariki, inayojulikana kama Eassy, ilikuwa imekatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban.

Kebo nyingine pia ilikatwa. Alipuuzilia mbali uwezekano kwamba huenda ni hujuma na uongeza kuha hali kama hiyo wakati mwingine hutokea kwa bahati mbaya.

Kebo zingine zinazounganisha Afrika Mashariki na Ulaya pia zinapatikana na hatua kwa hatua huduma inapaswa kuboreshwa kwani data inapitishwa tena.

Lakini kwa vile makampuni mengi makubwa yana vituo vya data nchini Afrika Kusini uharibifu wa kiungo muhimu ambacho Eassy hutoa ulikuwa na athari kubwa.

Chanzo: BBC
Kwa hiyo hiyo cable wameshindwa kuiunga mpk leo?
 
Hiyo cable mpk leo imewashinda kuiunga asee
 
Sio kazi ambayo kila mtu anaeweza ifanya ni makampuni machache yana uwezo wa kufanya hiyo shughuli duniani.

Pili ugumu wa kazi unategemea kina cha bahari. Halafu kuna kusubiri meli iliyo free ije kufanya hiyo kazi ya haraka (muda mwingi hizo meli zipo booked) na kama kina kirefu kazi ya kukata na kutandika line nyingine inafanywa na ‘remote operated vehicles’ ni complicated operation.

Ndio maana kwenye hiyo habari ya bbc imesema kuna makampuni yameanza kuamia kwenye subsea cable zinazotokea Europe sasa kuama ni rahisi, kuamisha data za mashirika ni shughuli nyingine ambayo inachukua muda.

Wako hatua gani sijui zaidi ya maelezo ya habari.
 
So maana yake ni kuwa kama tungekuwa na internet ya Star link tusinge hangaika bado lawama apewe NAPE NAUYE.
embu nieleweshwe jambo, wewe unastar link, na Mtandao wako wa Starlink uko vizuri, lakini mm mwenye server natumia submarine cable tupo kwenye shida ya mtandao, kivip utaweza kupata access ya mtandao ikiwa utaitaji huduma kutoka kwangu?
Kwa sababu mtandao unakamilika kutegemea ni nani unayemuunganisha na nani, na yule anayemuunganisha na wale, na hivyo ndivyo tunavyopata mtandao wa kimataifa.
 
Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo.

View attachment 2989668

Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo.

Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari zinazounganisha eneo hilo na dunia nzima kupitia Afrika Kusini, mtaalam wa sekta hiyo Ben Roberts aliambia BBC.

Hali kama hiyo ilishuhudiwa katika sehemu za Magharibi na Kusini mwa Afrika mwezi Machi.

Cloudflare Radar, ambayo inafuatilia uunganishaji wa intaneti, imesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizoathirika zaidi na trafiki kushuka hadi asilimia 30 ya viwango vinavyotarajiwa.

Gazeti la Citizen la Tanzania lilieleza kilichotokea kama "kuzimwa kwa mtandao ambao kumeathiri njia kuu za mtandao".

Safaricom, pia nchini Kenya, ilisema "inakabiliwa na changamoto". Airtel Uganda imesema inafahamu kuhusu "huduma ya mtandao ya mara kwa mara".

Na MTN Rwanda ilisema kulikuwa na "suala la uharibifu wa uhusiano wa kimataifa". Malawi, Msumbiji na Madagascar pia zimeathirika kulingana na Cloudflare Radar.

Bw Roberts, kutoka kampuni ya pan-Africa ya Liquid Intelligent Technologies, alisema kuwa amethibitisha kuwa kebo moja inayopitia kando ya pwani ya Afrika Mashariki, inayojulikana kama Eassy, ilikuwa imekatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban.

Kebo nyingine pia ilikatwa. Alipuuzilia mbali uwezekano kwamba huenda ni hujuma na uongeza kuha hali kama hiyo wakati mwingine hutokea kwa bahati mbaya.

Kebo zingine zinazounganisha Afrika Mashariki na Ulaya pia zinapatikana na hatua kwa hatua huduma inapaswa kuboreshwa kwani data inapitishwa tena.

Lakini kwa vile makampuni mengi makubwa yana vituo vya data nchini Afrika Kusini uharibifu wa kiungo muhimu ambacho Eassy hutoa ulikuwa na athari kubwa.

Chanzo: BBC
Nape angekubali internet ya Elon Musk ubgekuta tunaendelea kutumia starlink badala ya kulalamikia cable.
 
Nape alipoingia ofisini alusema tz itarusha setelite yake nadhani huu ndio mwarobaini
Satellite 📡 si ndio ungo ?
Kwanza watu wanafanya mazoezi ya kuruka na Ungo humu humu Nchini !

Kisha baadaye Anga za juu !
Dunia itatuelewa tu !
 
Back
Top Bottom