Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni pamoja na mahitaji ya kila siku ndani ya nyumba kama vile chakula, mavazi na malazi kwa mama, baba na watoto, mahitaji muhimu ya kielimu na afya kwa familia nzima n.k
Lakini zaidi sana,
Mahitaji muhimu sana ya ndoa, kimwili na kiroho, kutokutimizwa vizuri na ipasavyo katika ukamilifu wake. na hii huchochea wanaondoa kuanza kuyatafuta mahitaji hayo nje ya mipaka ya ndoa zao, na matokeo yake kusambaratika kwao kama familia.
Fanya kazi kwa bidii, timiza wajibu na majukumu yako ipasavyo kwa familia yako ili udumu na kufurahia ndoa yako 🐒