Hahahahaah shaft tena mzee😅😅😅 mitulinga ya hajaJuzi niliingia choo cha Tasisi moja kubwa aisee ni aibu watu wanashusha shafts bila maji tu ni balaa!
Haaaaa dah halafu kiulaini sana, wakuu ukiwa mjini we ingia kwenye hizi hoteli kubwa unajisaidia fresh tu mradi ujiamini unakwenda restaurant, kuna vyoo jirani na restaurants za hoteli kama ni mgeni unauliza "toilet Please" fastr unaonyeshwa.Kumbe una gari? Hongera. Mimi huwa naenda kujisaidia Kempiski, Serena Hotel au Holiday inn acha ubahili mkuu.
Tumwombee wivu mtu anayeenda kunya?Mbona mnakuwa wakali!!!
mjini kuna magari mangapi road!!?
mpaka muone jamaa kuwa na gari ni bonge la issue!!
ama anajikweza!?
nyie jamaa mna dhiki sana
Mbona mnakuwa wakali!!!
mjini kuna magari mangapi road!!?
mpaka muone jamaa kuwa na gari ni bonge la issue!!
ama anajikweza!?
nyie jamaa mna dhiki sana
Sasa mimi nagonga suti langu nani ataniuliza?haaaaa dah halafu kiulaini sana, wakuu ukiwa mjini we ingia kwenye hizi hoteli kubwa unajisaidia fresh tu mradi ujiamini unakwenda restaurant ,kuna vyoo jirani na restaurants za hoteli kama ni mgeni unauliza "toilet Please" fastr unaonyeshwa.
Sharti ni kuwa smart na kujiamini
Namna hiyo utakuwa unatoa mzigo umeshakauka ukuchubue. Vipi hali yako hapo mlangoni ikoje?Mimi nna ugonjwa wangu.
Mzigo ukishapiga hodi nikasema nitoke niende mbali na nilipokuwepo mzigo huwa unarudi kabisa..
Kilichobaki hapo ni kunywa maji mengi uelee huko tumboni
Mimi nna ugonjwa wangu.
Mzigo ukishapiga hodi nikasema nitoke niende mbali na nilipokuwepo mzigo huwa unarudi kabisa..
Kilichobaki hapo ni kunywa maji mengi uelee huko tumboni
Ndio maana napiga maji mengi.Namna hiyo utakuwa unatoa mzigo umeshakauka ukuchubue. Vipi hali yako hapo mlangoni ikoje?
Mkuu maji yote yanaishia kwenye large intestine, mzigo unashuka kwenye descending colon na kutua kwenye sigmoid colon na kugonga kwenye rectum hakuna maji huko ndo mana ukishusha mzigo huoni maji. Ukikaa mda mrefu lazima uwe mgumu tu eneo hilo maji Yanakuwa yameshanyonywa na large intestine utakojoa sana hayafiki kwenye mavi unajidanganya tu.Ndio maana napiga maji mengi.