Kukosekana kwa maji kumenisabisha kujisaidia haja kubwa mbali na ofisi

Kata gogo asubuhi nenda kazini, au home kaja house girl mpiya mkuu!
 
Hakuna Kempinski Tz kwa zaidi ya miaka 10 sasa wewe Kempinski ipi unayojisaidia,kama huwa unaenda nenda kasome tena bango lao wanaitwaje?
Ukisema Hyatt Regency wengi hawatapata picha, Kempiski ni jina kongwe tangu enzi za level 8 disko. Ila wengi wameelewa sema wazee wa kupenda ligi hamkosekanagi. Au basi The Kilimanjaro.
 
kwa hali inavyoendelea wekeza kwenye adult diapers tu mkuu. Unapiga zako diapers halafu inakuja boxer. Ukifika nyumbani unachukua wipes zako unasafisha uchafu then maji tiririka, mambo yanakuwa safi.
Tatizo pekee hapo ni kwamba wenzio ofisini wataanza kusema umetoka kishundu.
 
Hicho kishundu kinaweza kupelekea kuombwa jicho na wala tope.
 
Usiombe kukutwa na bwana Pepsi! Tangu maji yaanze kusumbua huduma ya kuingia maliwatoni ni jero sahizi[emoji28] sio 200 tena!
Kwa hiyo kuingia chooni imekuwa moja ya anasa kwa mtanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Gari..anasa, ghorofa..anasa, chips kuku...anasa, leo chooni..anasa!
 
Kweli dunia inatupeleka mbio mpaka wadau wameanza kuleta nyuzi za mavi mavi hapa jf na wadau nao wamelipokea vema nao wanaanza kujadili mavimavi haki kweli watu tunaelekea kuchanganyikiwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…