Kukosekana kwa umeme na maji kunaua watu wengi kuliko kutekwa

Kukosekana kwa umeme na maji kunaua watu wengi kuliko kutekwa

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,524
Reaction score
4,477
Kukosekana kwa maji kunasababisha mlipuko wa magonjwa ya kipindupindu typhoid na magonjwa ya kuhara tumbo maana maji machafu husababisha magonjwa ya kuambukiza na magonjwa haya huua watu wengi sana.

Kukatika katika umeme kunaua biashara nyingi za watu, watu wana madeni wana Familia wanategemea umeme waishi ukiwakatia umeme unawafanya waelemewe na mzigo wa majukumu watu wanapata msongo wa mawazo na hali hii inachochea vifo kwa hiyo wanasiasa wasicheze na maisha ya watu kwa siasa nyepesi watoe majibu ya uhakika kwa wapiga kura.
 
Mfumo wa hii nchi tangu uhuru haukujengeka kuifanya nchi iendelee zaidi ya kujaza siasa kila mahali hadi kuwafanya wanasiasa waonekane wana nguvu.

Katiba inatakiwa kuwa framed upya kuweka siasa mbali na utendaji ili nchi iweze kupiga hatua za kimaendeleo za maana. Miaka 60 tunaimba vitu vilevile, maji, umeme, madarasa, vituo vya afya utafikiri nchi ndo imepata uhuru leo.​
 
Kumekuwa na Siasa na ushabiki usio na kichwa wala miguu. Hakuna mipango ya muda mrefu.
 
Vyote havifai..., since huyu alikuwepo then and now Lawama zote zimfikie popote alipo...
 
Na ndio maana CCM itaendelea kuongoza karne na karne.

Ina tastes za aina zote - conservatism na liberalism.

CCM bado ipo sana, for ages to come.
Nothing more than njaa zilizotawala matumbo yao, na ushabiki uliojaa vichwani mwao.

Huyu anayepinga kukosa umeme leo alikuwa akicheka wakati ule wa utekaji, na yule mwingine anayetetea kukosa umeme kisa hakuna utekaji nae ni mjinga tu asiyejielewa.

Inshort, CCM ina survive kwa sababu ya akili ndogo tofauti kama hizo mbili hapo juu, ndio zimetawala sehemu kubwa ya siasa zetu, zikisaidiwa na tume ya uchaguzi na polisi.
 
Punguza makasiriko.
 
Kukosekana kwa maji kunasababisha mlipuko wa magonjwa ya kipindupindu typhoid na magonjwa ya kuhara tumbo maana maji machafu husababisha magonjwa ya kuambukiza na magonjwa haya huua watu wengi sana.

Kukatika katika umeme kunaua biashara nyingi za watu, watu wana madeni wana Familia wanategemea umeme waishi ukiwakatia umeme unawafanya waelemewe na mzigo wa majukumu watu wanapata msongo wa mawazo na hali hii inachochea vifo kwa hiyo wanasiasa wasicheze na maisha ya watu kwa siasa nyepesi watoe majibu ya uhakika kwa wapiga kura
Hili jaribio (ukosefu wa maji) liliwahi kufanyika mwaka jana muda kama huu ila Serikali walilistukia na kulizima muda huo huo. Naona mwaka huu wamechengwa, limepata upenyo, mbinu zinazidi kuongezeka! Kazi kwenu, achunguzaye na afahamu. Maisha yetu sisi usanii mwingi mno!
 
Kukosekana kwa maji kunasababisha mlipuko wa magonjwa ya kipindupindu typhoid na magonjwa ya kuhara tumbo maana maji machafu husababisha magonjwa ya kuambukiza na magonjwa haya huua watu wengi sana.

Kukatika katika umeme kunaua biashara nyingi za watu, watu wana madeni wana Familia wanategemea umeme waishi ukiwakatia umeme unawafanya waelemewe na mzigo wa majukumu watu wanapata msongo wa mawazo na hali hii inachochea vifo kwa hiyo wanasiasa wasicheze na maisha ya watu kwa siasa nyepesi watoe majibu ya uhakika kwa wapiga kura
Jamani tulitaka demokrasia ama mnasemaje huko wananchi lakini.
Nchi masikini nasema narudia hatuwezi kusonga kwa kuchekeana. Inatakiwa ukatili wa Hali ya juu maana binadamu haelewi mpaka apate maumivu ama kifo ndio atasonga mbele.
Hata uko USA mnakoimba demokrasia ndio kwao fuatilia waliishije mpaka wakafika hapo walipo wakajiachia.

Haya Sasa na saivi ukienda ofisi zetu jamaa wanachati na kucheki social networks kwanza na selfie kwenda mbele.

Inatakiwa mtumishi aache simu kwa ps huko akiwa jobu atumie simu ya job Ile ya landline na sio hizi wanachati mapenzi jobu.

Am looking to run this black"s countries.

Watu wanajichekesha kwenye ishu serious. Yaani jpm akifufuka akisikia symbion wamelipwa ataomba are tu ili asiyaone haya madudu.
Watu wamejichotea mabilioni kadhaa like 300+ na wamasai wanahamishwa anko akapewa aibe wanyama wote apeleke huko kwao.
Baadaye mbeleni huku kwetu hakuna wanyama , mazingira sio mazuri roads hazipitiki porini na wanyama wote na mazingira yote mazuri ya utalii yatakuwa uarabuni.

Nakuambia baada ya miaka 500 tutaenda kuona wanyama uarabuni Mana wale natural resources zinaisha so wanafanya kila mbinu iwe miji ya kitalii watu wauze hoteli chakula usafiri na walipe Kodi full stop. Wameona mbele like 2000yrs to come sie tunajichekesha na kunanga kuwa raisi hajui English Ila bana mwafrika akarogwa akili mpaka machozi yananitoka ujue. Hajiulizi hajawahi Ina raisi wa nchi kubwa anaongea lugha ambayo sio ya kwake Kama ufaransa, German,China Russia huwa wanagonga lugha zao. Eti huku blacks anaona ufahali mwanae kuongea English..

Ngoja waendelee kukazwa mpaka wataingia road wenyewe.

Kuna kikundi Cha watu fulani kinachojiita chama tawala sijui sili sangara na maakande kazi yao Ni kuwanyonya watanzania. Yaani haka kamfumo ka nchi Ni kazuri kwa baadhi ya watu.

Bora wazungu warudi waondoe mipaka tuishi Kama tulivyokuwa tunaishi na wanaotaka kuungana na wengine na kwa mkataba kuwa raslimali za hapa haziwahusu. Sema biashara huria na wanalipa tu Kodi Kama kawaida na free movement ya watu na huku kwetu ujue Kuna Sheria zetu so hazitobadilika
 
Nimesikia leo kuna viwanda vya soda vinashindwa kuzalisha sababu ya maji,
watu wamerudishwa nyumbani, ajira za watu zimepotea.
 
Mwenzio anamkumbuka kwa kuteka watu. Hayo ndiyo mazuri ambayo marehemu alisema atakumbukwa?
Sie tunataka umeme sio blah blah miaka 60 ya uhuru hakuna maji wala umeme bora hata alivyo kuwepo hakukuwa na shida ya maji wala umeme.
 
Back
Top Bottom