misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 17,894 Reaction score 14,783 Nov 17, 2022 #21 Kama anaupiga mwingi leta maji sio propaganda
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 Nov 17, 2022 #22 Son of Ra said: Nimesikia leo kuna viwanda vya soda vinashindwa kuzalisha sababu ya maji, watu wamerudishwa nyumbani, ajira za watu zimepotea. Click to expand... Ndio maana soda tsh 700
Son of Ra said: Nimesikia leo kuna viwanda vya soda vinashindwa kuzalisha sababu ya maji, watu wamerudishwa nyumbani, ajira za watu zimepotea. Click to expand... Ndio maana soda tsh 700
britanicca Platinum Member Joined May 20, 2015 Posts 18,261 Reaction score 48,864 Nov 17, 2022 #23 CCM tunaipenda na wengine ni wanachama wa ndani Kabisa ila Hili la Umeme tujitafakari Upya ! Ama waziri hatoshi Au tuangalie namna mpya ya uwekezaji kwenye Umeme Britanicca
CCM tunaipenda na wengine ni wanachama wa ndani Kabisa ila Hili la Umeme tujitafakari Upya ! Ama waziri hatoshi Au tuangalie namna mpya ya uwekezaji kwenye Umeme Britanicca