Kukosekana kwa ushahidi wa Wakuu wa Vyombo vya Usalama ni uthibitisho hakuna Uhaini

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Ni mpango wa Mungu.

Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa siri.

Walikuwa ni mashahidi muhimu sana na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.

Serikali (Rais) ndiyo iliyotishwa sio Wakili wa serikali wala mashahidi wake, ilitakiwa waje (the victims) kuthibitisha kuwa kweli wametishika, kwa kawaida aliyeshitaki asipofika mahakamani kuthibitisha kesi inatupiliwa mbali.

Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, wala serikali haijatishika, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.

Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
 
Mimi naona tofauti kidogo, hapa Lisu anaweza kuhukumiwa kifo ili apoteze sifa ya kuendelea na siasa kwa kukaa gerezani muda mrefu

Hakuna mtawala wa CCM anapenda kumuona Lisu uraiani

Sababu pekee inayoweza kumfanya Lisu arudi uraiani ni kifo cha Mzee Wasira tu! Huyu Mzee akifa angalau wanasiasa wa upinzani watapumua sasa kwa bahati mbaya Mungu si Athumani, watu wabaya (kwa vyote Moyo, roho na sura) hawafagi mapema

Nadhani wengi hawakumuelewa Mh. Makongoro kuhusu ile speech yake maarufa ya "yumoo"!
 
Ni mpango wa Mungu.

Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa siri.

Walikuwa mashahidi muhimu na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.

Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.

Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
Aisee, hili tunaliomba litimie mkuu. Ila jamaa akiachiwa siku hiyo asipewe maiki maana anaweza kurudishwa ndani😁
 
Ni mpango wa Mungu.

Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa siri.

Walikuwa mashahidi muhimu na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.

Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.

Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
It depends! Kama ushahidi uliotolewa utaonekana unatosha kumtia hatiani, the absence of ushahidi wa Kingai et al is immaterial!katika murder ushahidi wa kimazingira.. circumstantial evidence unaweza kumtia mtu hatiani...but needs .... irresistible inference.....

Thank God hakuna ushahidi wowote ambao umem incriminate Lisu na uhaini!
1. Tutakinukisha can mean anything ...kuifanya serikali unuke kwa wananchi waikatae, si kwa kuipindua
2. Uasi si uhaini, unaweza kuasi dini, siyo kuiangamiza dini. Unaweza kuasi mzazi, si kumuua, unaweza kuasi serikali kwa kuipinga na si kuipindua

hakuna element yoyote ya uhaini ambayo Katuga et waliitoa katika ushahidi wao. WAJINGA

3...... Ongeza.
 
Ni mpango wa Mungu.

Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa siri.

Walikuwa mashahidi muhimu na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.

Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.

Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
Sio Mhaini lkn kapumzishwa
 
Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
Mkulu akishauriana na vilaza wake, wanaweza kuja na maamuzi ya kushangaza sana.

Walipofika kwa sasa, hawana aibu na wala haya. Lolote linalolinda Ufisadi wao wanalitekeleza bila wasiwasi.

Lissu regardless wataamua kesi vipi, ila ameonyesha Ujasiri wa hali ya juu sana kwenye hili na ameweka Standard kubwa sana kwa Upinzani.

Tundu Lissu HONGERA nyingi kwake. Alichokifanya hata mimi nisingeweza kukifanya. Nchi hii kukataa HONGO ni jambo gumu sana kuliweza. Lissu ndio atakuwa mtanzania wa kwanza kukataa Fedha nyingi ili asaliti Msimamo wake.

Tanzania bila rushwa, haiwezekani.
 
Ni mpango wa Mungu.

Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa siri.

Walikuwa mashahidi muhimu na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.

Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.

Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.✔
 
Kuna statement zimekuwa recorded Leo Mahakamani ni mtego mbaya sana..

Unajua ofisi za Polisi au tuseme DCI au CDF zinatakiwa kuwa neutral katika hali yoyote...
Yaani Polisi hatakiwi kuwa na upande ..yeye ni kutekeleza Sheria... Polisi anatakiwa kutoa ushahidi na kudhibitisha kosa...

Sasa hii statement kwamba " tutashangilia kama ukiwa na hatia" imekuwa recorded.... Huu ni mtego mbaya sana...

Tusubiri huko mbele... Lissu kusema hayo maneno alimaanisha mambo ya mbele ambayo tutakuja kuyashuhudia ...na kuweka vyombo vya Dola na Mahakama katika mtihani mzito
 
Back
Top Bottom