Kukosekana kwa ushahidi wa Wakuu wa Vyombo vya Usalama ni uthibitisho hakuna Uhaini

Kukosekana kwa ushahidi wa Wakuu wa Vyombo vya Usalama ni uthibitisho hakuna Uhaini

Tundu Lissu ana akili sana.. Polisi ndo walimkamata Lissu, lakini wameshindwa kuja kudhibitisha uhaini wake. 🤣🤣
Wanampeleka Yeriko kuitetea serikali badala ya DGIS au DCI ambao ndio wawakilishi wa serikali wana akili kweli.
 
Fujo za kwenye uchaguzi zilikuwa zimepangwa muda mrefu kabla ya uchaguzi , hazikuzuka tu ghafla, na wapangaji wa hizo fujo ni pamoja na tundu lisu, CHADEMA wanahusika kwa asilimia 100% kwenye kupanga na kutekeleza huo mpango, ndio maana wanalia lua huku mitandaoni , bahati nzuri karibu 90% ya waluotekeleza vurugu wameshughulikiwa
Tuseme ni sawa, lkn kwanini wamempeleka Yeriko kuthibitisha unayosema badala ya DCI au IGP?
 
Mimi naona tofauti kidogo, hapa Lisu anaweza kuhukumiwa kifo ili apoteze sifa ya kuendelea na siasa kwa kukaa gerezani muda mrefu

Hakuna mtawala wa CCM anapenda kumuona Lisu uraiani

Sababu pekee inayoweza kumfanya Lisu arudi uraiani ni kifo cha Mzee Wasira tu! Huyu Mzee akifa angalau wanasiasa wa upinzani watapumua sasa kwa bahati mbaya Mungu si Athumani, watu wabaya (kwa vyote Moyo, roho na sura) hawafagi mapema

Nadhani wengi hawakumuelewa Mh. Makongoro kuhusu ile speech yake maarufa ya "yumoo"!
wamfunge? Jumuiya za kimataifa zilishaponda, zilisema aachiwe kimahakama au kisiasa, na walitoa muda. Kama wako tayari kutengwa basi wamfunge waone cha mtema kuni
 
Kuna statement zimekuwa recorded Leo Mahakamani ni mtego mbaya sana..

Unajua ofisi za Polisi au tuseme DCI au CDF zinatakiwa kuwa neutral katika hali yoyote...
Yaani Polisi hatakiwi kuwa na upande ..yeye ni kutekeleza Sheria... Polisi anatakiwa kutoa ushahidi na kudhibitisha kosa...

Sasa hii statement kwamba " tutashangilia kama ukiwa na hatia" imekuwa recorded.... Huu ni mtego mbaya sana...

Tusubiri huko mbele... Lissu kusema hayo maneno alimaanisha mambo ya mbele ambayo tutakuja kuyashuhudia ...na kuweka vyombo vya Dola na Mahakama katika mtihani mzito
Upo sahihi kabisa jamaangu
 
Kuna statement zimekuwa recorded Leo Mahakamani ni mtego mbaya sana..

Unajua ofisi za Polisi au tuseme DCI au CDF zinatakiwa kuwa neutral katika hali yoyote...
Yaani Polisi hatakiwi kuwa na upande ..yeye ni kutekeleza Sheria... Polisi anatakiwa kutoa ushahidi na kudhibitisha kosa...

Sasa hii statement kwamba " tutashangilia kama ukiwa na hatia" imekuwa recorded.... Huu ni mtego mbaya sana...

Tusubiri huko mbele... Lissu kusema hayo maneno alimaanisha mambo ya mbele ambayo tutakuja kuyashuhudia ...na kuweka vyombo vya Dola na Mahakama katika mtihani mzito
DCI ambaye kwa cheo chake anatakiwa awe neutral badala ya kusema sheria zifuate mkondo wake anatangaza public kuwa atafurahi akinyongwa,

Dah Tanzania simama nishuke.
 
Ni mpango wa Mungu.

Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa siri.

Walikuwa ni mashahidi muhimu sana na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.

Serikali (Rais) ndiyo iliyotishwa sio Wakili wa serikali wala mashahidi wake, ilitakiwa waje (the victims) kuthibitisha kuwa kweli wametishika, kwa kawaida aliyeshitaki asipofika mahakamani kuthibitisha kesi inatupiliwa mbali.

Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, wala serikali haijatishika, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.

Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
Kwa Hali hii,mwenye akili inayofanya KAZI,kwanini asihuzunike juu ya taifa lake,kwanini asikasirike,ila chawa na akili visoda wote wanafurahi kwa kuwa wamepewa ruhusa ya kuiba kwa malipo ya kulinda waliotoa ruhusa ya kuliibia taifa na kuwaibia Watanzania,🤔
 
Kama tumelaaniwa vile....mwaka kesho(2027) twatarajia darasa la tano na la sita kufanya mitihani pamoja kwenda sekondari mwaka 2028. Ni wazi kuwa mwaka huo tutahìtaji kuwa na vyumba vingi vya madarasa, walimu wengi, vitabu vingi na rasilimali zingine nyingi kuliko miaka ya nyuma. Badala ya kujiandaa kwa haya yaliyo mbele yetu , tunatumia pesa ambazo zingetumika kuandaa huo mpango wa 2028 visivyo. Posho za hao maqakili wa serikali, majaji , mapolisi,magereza na wahudumu wengine wa hii kesi ya mchongo kwa zaidi ya mwaka(siku 500+) ni mabilioni ya shilingi. Kwa maana hiyo hatutumii ipasavyo kodi zetu. Hii ni aibu kubwa kwa nchi yetu na bora waliopo ndani , Watanzania walio nje ya nchi watakuwa wanachekwa sana.. NI AIBU KUBWA...
Unajua gharama ya uharibifu uliofanyika oktoba 29 ??
 
Uwajibikaji mdogo pia katk rule of law
 
Back
Top Bottom