Kukosekana kwa ushahidi wa Wakuu wa Vyombo vya Usalama ni uthibitisho hakuna Uhaini

Kukosekana kwa ushahidi wa Wakuu wa Vyombo vya Usalama ni uthibitisho hakuna Uhaini

Kuna statement zimekuwa recorded Leo Mahakamani ni mtego mbaya sana..

Unajua ofisi za Polisi au tuseme DCI au CDF zinatakiwa kuwa neutral katika hali yoyote...
Yaani Polisi hatakiwi kuwa na upande ..yeye ni kutekeleza Sheria... Polisi anatakiwa kutoa ushahidi na kudhibitisha kosa...

Sasa hii statement kwamba " tutashangilia kama ukiwa na hatia" imekuwa recorded.... Huu ni mtego mbaya sana...

Tusubiri huko mbele... Lissu kusema hayo maneno alimaanisha mambo ya mbele ambayo tutakuja kuyashuhudia ...na kuweka vyombo vya Dola na Mahakama katika mtihani mzito
Tusubiri huko mbele... Lissu kusema hayo maneno alimaanisha mambo ya mbele ambayo tutakuja kuyashuhudia ...na kuweka vyombo vya Dola na Mahakama katika mtihani mzito
 
Kuna mwanasheria aliniambia hiki kitu kuwa wasipofika hii kesi itakuwa ngumu zaidi kwa jamhuri na Lissu kaweka mtego ambao vyovyote vile lazima wachugue moja na hakuna nafuu kati ya kwenda au kutokwenda.

Nilivyoona Lissu anafunga ushahidi kiwepesi bado haikuniingia akili hadi nilivyomsoma wakili Matata. Shortly hii ngoma Lissu itamfanya Lissu Academics zimsome for years! Anaandika historia ambayo pengine itapita vizazi vingi kushuhudia.
 
Ni mpango wa Mungu.

Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa siri.

Walikuwa mashahidi muhimu na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.

Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.

Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
upange uhalifu wako binafsi na watu wako kisha utegemee watu wenye wajibu wa kudhibiti watu useless kama kibaraka, eti waje kukutetea,

hiyo sijui akili ya wapi inatumika 🐒
 
Tusubiri huko mbele... Lissu kusema hayo maneno alimaanisha mambo ya mbele ambayo tutakuja kuyashuhudia ...na kuweka vyombo vya Dola na Mahakama katika mtihani mzito
kwahiyo mnasubiri muujiza? :pedroP:
 
Watamhukumu
Watamfungia kufanya au kujihusisha na siasa. Hatanyongwa
Atatolewa kwa msamaha.
Nimefikiria hivyo. Nia ya serikali siyo nzuri kwa lisu
inna lillahi wa inna ilahi rajirun 🌹
 
Hizi mahakama zetu laZima zimhujumu Lissu na kumpa adhabu ya kunyongwa na ivo kumweka gerezani Kwa muda mrefu labda atatoka Kwa msamaha wa Rais ajaye
Hii ndo kete ya wadhalimu kutumia mahakama kunyonga haki
 
Muhalifu na mkiuka sheria yeyote yule anastahili hukumu husika kwa mujibu wa sheria,
hakuna haja ya msamaha kwa muhalifu aliekosa adabu kwa katiba ya nchi 🐒
 
Hizi mahakama zetu laZima zimhujumu Lissu na kumpa adhabu ya kunyongwa na ivo kumweka gerezani Kwa muda mrefu labda atatoka Kwa msamaha wa Rais ajaye
Hii ndo kete ya wadhalimu kutumia mahakama kunyonga haki

100%
 
Kuna mwanasheria aliniambia hiki kitu kuwa wasipofika hii kesi itakuwa ngumu zaidi kwa jamhuri na Lissu kaweka mtego ambao vyovyote vile lazima wachugue moja na hakuna nafuu kati ya kwenda au kutokwenda.

Nilivyoona Lissu anafunga ushahidi kiwepesi bado haikuniingia akili hadi nilivyomsoma wakili Matata. Shortly hii ngoma Lissu itamfanya Lissu Academics zimsome for years! Anaandika historia ambayo pengine itapita vizazi vingi kushuhudia.
Hio post ya wakili Matata iko kwenye mtandao gani au umeisoma wapi?
 
Watamhukumu
Watamfungia kufanya au kujihusisha na siasa. Hatanyongwa
Atatolewa kwa msamaha.
Nimefikiria hivyo. Nia ya serikali siyo nzuri kwa lisu
Kwa kosa gani lililothibitika mahakamani leo au jana...?

Sikiliza bhana...

Assumption ni hii👇👇

1. Kwanza, as it stands now, hakuna kosa lolote la kumtia hatiani kwa mujibu wa sheria yoyote ya Tanzania..!

2. Lengo lao kuu ni kum - detain as long as possible. Na hiyo "long as possible" wameshaifanya tayari, lakini bila shaka, may be they want him as long as possible once more again.........(abuse of power)

3. Watakachofanya "possibly" ni kumtia hatiani kwa kadiri ya "muono wa Majaji" na sio kwa mujibu wa sheria na kwamba amekutwa na kosa...!

4. Lengo la kutoa hiyo "hukumu ya kimagumashi" ni ili tu kuvuta muda, akate rufaa na kesi ikaishie huko, na Kisha awe huru. Hii yaweza kuchukua miezi miwili au mitano tena lakini si mwaka..!
 
Kama tumelaaniwa vile....mwaka kesho(2027) twatarajia darasa la tano na la sita kufanya mitihani pamoja kwenda sekondari mwaka 2028. Ni wazi kuwa mwaka huo tutahìtaji kuwa na vyumba vingi vya madarasa, walimu wengi, vitabu vingi na rasilimali zingine nyingi kuliko miaka ya nyuma. Badala ya kujiandaa kwa haya yaliyo mbele yetu , tunatumia pesa ambazo zingetumika kuandaa huo mpango wa 2028 visivyo. Posho za hao maqakili wa serikali, majaji , mapolisi,magereza na wahudumu wengine wa hii kesi ya mchongo kwa zaidi ya mwaka(siku 500+) ni mabilioni ya shilingi. Kwa maana hiyo hatutumii ipasavyo kodi zetu. Hii ni aibu kubwa kwa nchi yetu na bora waliopo ndani , Watanzania walio nje ya nchi watakuwa wanachekwa sana.. NI AIBU KUBWA...
 
Ni mpango wa Mungu.

Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa siri.

Walikuwa ni mashahidi muhimu sana na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.

Serikali (Rais) ndiyo iliyotishwa sio Wakili wa serikali wala mashahidi wake, ilitakiwa waje (the victims) kuthibitisha kuwa kweli wametishika, kwa kawaida aliyeshitaki asipofika mahakamani kuthibitisha kesi inatupiliwa mbali.

Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, wala serikali haijatishika, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.

Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
Tundu Lissu yuko very brave
 
It depends! Kama ushahidi uliotolewa utaonekana unatosha kumtia hatiani, the absence of ushahidi wa Kingai et al is immaterial!katika murder ushahidi wa kimazingira.. circumstantial evidence unaweza kumtia mtu hatiani...but needs .... irresistible inference.....

Thank God hakuna ushahidi wowote ambao umem incriminate Lisu na uhaini!
1. Tutakinukisha can mean anything ...kuifanya serikali unuke kwa wananchi waikatae, si kwa kuipindua
2. Uasi si uhaini, unaweza kuasi dini, siyo kuiangamiza dini. Unaweza kuasi mzazi, si kumuua, unaweza kuasi serikali kwa kuipinga na si kuipindua

hakuna element yoyote ya uhaini ambayo Katuga et waliitoa katika ushahidi wao. WAJINGA

3...... Ongeza.
Tutafanya uasi ili kuzuia uchaguzi, na kweli siku ya uchaguzi wapiga kura wakauliwa, kukatwa vidole, vituo vya mwendokasi vikachomwa, hauoni iyo kauli ya lisu imeendana na kilichotokea kwenye uchaguzi?
 
Ni mpango wa Mungu.
Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
Wapo kinyume na mpango wa MUNGU.
Mkulu akishauriana na vilaza wake, wanaweza kuja na maamuzi ya kushangaza sana.

Walipofika kwa sasa, hawana aibu na wala haya. Lolote linalolinda Ufisadi wao wanalitekeleza bila wasiwasi.

Lissu regardless wataamua kesi vipi, ila ameonyesha Ujasiri wa hali ya juu sana kwenye hili na ameweka Standard kubwa sana kwa Upinzani.

Tundu Lissu HONGERA nyingi kwake. Alichokifanya hata mimi nisingeweza kukifanya. Nchi hii kukataa HONGO ni jambo gumu sana kuliweza. Lissu ndio atakuwa mtanzania wa kwanza kukataa Fedha nyingi ili asaliti Msimamo wake.

Tanzania bila rushwa, haiwezekani.
Umeliweka vizuri sana!
Lengo lao kwa sasa ni kumdhibiti TAL!
 
Kuna statement zimekuwa recorded Leo Mahakamani ni mtego mbaya sana..

Unajua ofisi za Polisi au tuseme DCI au CDF zinatakiwa kuwa neutral katika hali yoyote...
Yaani Polisi hatakiwi kuwa na upande ..yeye ni kutekeleza Sheria... Polisi anatakiwa kutoa ushahidi na kudhibitisha kosa...

Sasa hii statement kwamba " tutashangilia kama ukiwa na hatia" imekuwa recorded.... Huu ni mtego mbaya sana...

Tusubiri huko mbele... Lissu kusema hayo maneno alimaanisha mambo ya mbele ambayo tutakuja kuyashuhudia ...na kuweka vyombo vya Dola na Mahakama katika mtihani mzito
Nilitamani sana zitamkwe na DCI mwenyewe akiwa chini ya kiapo cha mahakama.
LAKINI yote bin yote, ukweli unajulikana!
 
Back
Top Bottom