Aisee, hili tunaliomba litimie mkuu. Ila jamaa akiachiwa siku hiyo asipewe maiki maana anaweza kurudishwa ndani😁Ni mpango wa Mungu.
Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa siri.
Walikuwa mashahidi muhimu na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.
Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.
Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
Amenkifo cha Mzee Wasira
It depends! Kama ushahidi uliotolewa utaonekana unatosha kumtia hatiani, the absence of ushahidi wa Kingai et al is immaterial!katika murder ushahidi wa kimazingira.. circumstantial evidence unaweza kumtia mtu hatiani...but needs .... irresistible inference.....Ni mpango wa Mungu.
Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa siri.
Walikuwa mashahidi muhimu na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.
Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.
Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
Dunia ni mviringo Mandela alipitia yote hayo alifungwa alizuiwa kufanya siasa lkn alikuja kuwa rais.Watamhukumu
Watamfungia kufanya au kujihusisha na siasa. Hatanyongwa
Atatolewa kwa msamaha.
Nimefikiria hivyo. Nia ya serikali siyo nzuri kwa lisu
Naomba niwe hai Lisu atakuja kuwa Rais.Dunia ni mviringo Mandela alipitia yote hayo alifungwa alizuiwa kufanya siasa lkn alikuja kuwa rais.
Sio Mhaini lkn kapumzishwaNi mpango wa Mungu.
Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa siri.
Walikuwa mashahidi muhimu na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.
Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.
Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
Wao ndio wanaomuandaa.Naomba niwe hai Lisu atakuja kuwa Rais.
Kumbe mnajua, lkn wanamkomaza leo ni international figure.Sio Mhaini lkn kapumzishwa
Mkulu akishauriana na vilaza wake, wanaweza kuja na maamuzi ya kushangaza sana.Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
Hata mimi akili yangu inaniambia hivyoWatamhukumu
Watamfungia kufanya au kujihusisha na siasa. Hatanyongwa
Atatolewa kwa msamaha.
Nimefikiria hivyo. Nia ya serikali siyo nzuri kwa lisu
Umelitzama hili kwa angle nyingineWalikuwa mashahidi muhimu na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.
Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.✔Ni mpango wa Mungu.
Wao ndio wasimamizi wakuu wa usalama wa nchi, walinzi wa mipaka ya nchi, walinzi wa Rais na serikali yake, wana vyanzo vingi vya kupata habari popote ndani na nje ya nchi, wako kwenye nafasi nzuri ya kujua kama kulikuwa na mipango ya uhaini nchini iwe ilifanyika wazi au kwa siri.
Walikuwa mashahidi muhimu na wa mwisho kuiambia mahakama kama kweli kulikuwa na vitendo vya kihaini, kama kweli serikali ilitishika, kama kweli rais alitishika.
Ukiona wakuu hao wamepuuza hata wito wa kutoa ushahidi basi jua kulikuwa hakuna mpango wowote wa uhaini, tunachoshuhudia kwa sasa ni siasa za uhasama tu.
Natumaini Lissu atakuwa uraiani hivi karibuni.
Atakata rufaa na hukumu itabarikiwa hata miaka 10 ijayoWatamhukumu