Kukosekana kwa ushahidi wa Wakuu wa Vyombo vya Usalama ni uthibitisho hakuna Uhaini

Tutafanya uasi ili kuzuia uchaguzi, na kweli siku ya uchaguzi wapiga kura wakauliwa, kukatwa vidole, vituo vya mwendokasi vikachomwa, hauoni iyo kauli ya lisu imeendana na kilichotokea kwenye uchaguzi?
KUZUIA UCHAGUZI NI KUMPIDUA RAIS? NI FUJO ZA KAWAIDA (ama alizisababisha yeye, it needs proof)........ZINA ADHABU ZAKE LABDA SEDITION
Pili Lisu alikua mahabusu, alihamasishaje fujo ulizozisema?
 
KUZUIA UCHAGUZI NI KUMPIDUA RAIS? NI FUJO ZA KAWAIDA (ama alizisababisha yeye, it needs proof)........ZINA ADHABU ZAKE LABDA SEDITION
Pili Lisu alikua mahabusu, alihamasishaje fujo ulizozisema?
Fujo za kwenye uchaguzi zilikuwa zimepangwa muda mrefu kabla ya uchaguzi , hazikuzuka tu ghafla, na wapangaji wa hizo fujo ni pamoja na tundu lisu, CHADEMA wanahusika kwa asilimia 100% kwenye kupanga na kutekeleza huo mpango, ndio maana wanalia lua huku mitandaoni , bahati nzuri karibu 90% ya waluotekeleza vurugu wameshughulikiwa
 
Anahusikaje ilihali lisu alikuwa gerezani zaidi ya miezi kabla hata ya uchaguzi huyo mtu anapangaje uhaini ilihali alikuwa gerezani

Mahakamani haitumii hisia yaani huwezi mfunga tu mtu kwa kauli za kuongea kama huna physical evidence
 
Wakuu wa Vyombo vya Usalama na Saa100, ninahisi ndio ,wanaoturudisha mwaka 1960 kwa kuuza rasilimali za nchi kwa sasa!
 
Kabrandiwa kama mandela saiv mwamba ni super politician apa bongo level moja na kina mkwawa
Kweli kabisa. Akae huko at least for 5yrs ili brand yake iwe ni super zaidi
 
Good!
Ila bado abaki huko ht kwa miaka mitano tu ili akomae zaidi
Unadhani watakaobaki nje wataishi kwa amani.

Ingekuwa hivyo makaburu yalipomfunga Mandela kwenye kisiwa cha Robben wangeishi kwa raha mstarehe tena enzi zile kulikuwa hakuna internet na mawasiliano yalikuwa duni wachache sana walikuwa wanajua yuko wapi, sembuse leo kila kitu kikitendeka jumuiya yote ya kimataifa inajua siku hiyo hiyo, kelele zitakazopigwa mama mwenyewe atatamani ajifiche Kizmkazi milele.
 
Hapo mbali na ukweli. Ukweli haufi unaishi.
 
nchi za kijinga sana hizi bro. Kuifungia akili kama Ile kwa ujingaujinga inaboa sana
 
Tutafanya uasi ili kuzuia uchaguzi, na kweli siku ya uchaguzi wapiga kura wakauliwa, kukatwa vidole, vituo vya mwendokasi vikachomwa, hauoni iyo kauli ya lisu imeendana na kilichotokea kwenye uchaguzi?
Uasi upi kama waliojitokeza kupiga kura ni milioni 31 kati ya milioni 32 waliojiandikisha? Mawakili wa serikali walileta ushahidi wa hata waliokatwa vidole?Kwa nini hawakuleta ushahidi wa waliopigwa risasi na wahuni/polisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…