Kukosekana kwa ushahidi wa Wakuu wa Vyombo vya Usalama ni uthibitisho hakuna Uhaini

Tundu Lissu ana akili sana.. Polisi ndo walimkamata Lissu, lakini wameshindwa kuja kudhibitisha uhaini wake. 🤣🤣
Wanampeleka Yeriko kuitetea serikali badala ya DGIS au DCI ambao ndio wawakilishi wa serikali wana akili kweli.
 
Tuseme ni sawa, lkn kwanini wamempeleka Yeriko kuthibitisha unayosema badala ya DCI au IGP?
 
wamfunge? Jumuiya za kimataifa zilishaponda, zilisema aachiwe kimahakama au kisiasa, na walitoa muda. Kama wako tayari kutengwa basi wamfunge waone cha mtema kuni
 
Upo sahihi kabisa jamaangu
 
DCI ambaye kwa cheo chake anatakiwa awe neutral badala ya kusema sheria zifuate mkondo wake anatangaza public kuwa atafurahi akinyongwa,

Dah Tanzania simama nishuke.
 
Kwa Hali hii,mwenye akili inayofanya KAZI,kwanini asihuzunike juu ya taifa lake,kwanini asikasirike,ila chawa na akili visoda wote wanafurahi kwa kuwa wamepewa ruhusa ya kuiba kwa malipo ya kulinda waliotoa ruhusa ya kuliibia taifa na kuwaibia Watanzania,🤔
 
Unajua gharama ya uharibifu uliofanyika oktoba 29 ??
 
Uwajibikaji mdogo pia katk rule of law
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…