CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Mi pia nawatafuta sana, ukileta nijulishe pls
afredmkohiatgmaildotcom
Hao wa brzil utawauza kwa bei gani ili tujiandae na kama umesha weka kwenye mashine lini yatakuwa yameaunguliwa na pili matunzoyao hao kuku nisawa na hawa wakizungu ama unaweza kuwachia? nilipata kaelim flani kwa Malila pale shambani pake kawachia nje kwa sababu za kiutaalam
Chacha habri zako mkuu vip hawa vifaranga wapo tayari tuwafate? au unataratibu gani
Mi pia nawatafuta sana, ukileta nijulishe pls
afredmkohiatgmaildotcom
Mkuu hao wa Brazili nikiwataka kuanzia mwezi wa 9 ntawapata?Mkuu unaweza kuwaachia kwa sabubu hata wa kisasa wapo wanao achiwa, mkuu nita kutaarifu kuhusu hawa Dorep make nilipata mayai yao kwa shida sana nani very expenive, make yai moja ni Tsh 950/, Ila Kenbro ndo watakuwepo available, ingawa hata hawa Dorep kwa sasa mayai yao yako ndani ya Mashine na baada wiki mbili itakua tiyari,
Ila unaakiwakuwaunza vizuri kwa sabau ni kuku ambao kwaza wana maumbo ya kutisha na balaa nikwenye mayai yake ambayo ni makubwa sana kiasi kwamba hata kwenye tray hayaingii, na wanatabia ya kutaga pacha,
Ya Kenbro waio kuwepo waliisha ake walikuwa wachache saana ila kuna mayai ambayo yako kwenye mashine n wiki zijzo means vifaranga watakuwepo, Kenbroni kuku wa zuri sana hasa kwenye nyama make majogoo wake ni wakubwa sana na wana nyama laini na yenye radha nzuri sana
Mkuu naomba unipe bei yake na unipe njia ya kuwasafiri sha mimi nipo dar ntaanza na kuku 100 shambalangu ni jipya kabisa na hao wa brazili nijuze kabisa ukisha watotolesha utawauza kiasi gani nikutarishie pesa zako kabisa mkuu
Kusafirisha ni kwa basi ingawa hata kwa ndege huwa wanasafirishwa, unaulizia kenbro? au hao Dorep? mke nazungumzia aina mbili, kwa Dorep wait nitakunform make ndo kwanza mayai yako ndani ya mshine, Ila unaweza chukua hata enbro, ni wazuri sana na wanakua na maumbo makubwa sana hasa majogoo,