CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
- #21
Kumbe una Dorep pia,sasa itabidi nichukue 50/50 na kenbro ili nijaribu zote
alfredmkohiatgmaildotcom
poa mkuu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe una Dorep pia,sasa itabidi nichukue 50/50 na kenbro ili nijaribu zote
alfredmkohiatgmaildotcom
Hawa ndo Kenbro Majogoo utaona walivyo wakubwa na hao ni wa miezi 5
![]()
Mkuu Chasha nimeshindwa kuona picha kutokana na simu yangu,kama inawezekana naweza kukupa email address yangu ili uniwekee.But vipi utagaji wa hawa Kenbro?wanaanza kutaga baada ya muda gani?na Vp mayai yake katika ushindani wa soko?na wanataka kwa wastani gani?i mean kila siku wanataga?na ni mayai mangapi?na majogoo yake naweza kupandishia kwenye kuku wa kienyeji ili nipate mbegu kwa wingi?
Mkuu thx nimepata picha.Hawa kuku ni Chotara ambao wamedevelopiwa na kampuni ya kuku ya ufaransa, Ni kwamba ni wauri sana kwenye Nyama na anaye taka kufuganashauri awe na majogoo wengi kuliko majike make maogoo wke unaweza uza hadi 25,000/ na ukimuacha hadi miezi sita anaweza kuwa ni balaa kabisa, Dual Purpose ila sana kwenye nyama, kwenye kutaga ni sawa na hawa wengine miazi 5 anaanza kutaga
Kwa Upande wa Soko nina uhakika hakuna kuku wa Kienyeji pure anaye weza kushindana na Hawa,kwa sababu ya umbo lao kuwa kubwa na wazito sana na nyama zuri sana,
So ukitaka kufuga zalisha maogoo wa kutosha make ndo wana soko sna kwa sababu mayai yake ni the same na kuku wengine tu, ila kwenye nyama hapo ndo anakuwa hana mshindani
Mkuu thx nimepata picha.
Sasa jee kuna njia ya kitaalamu ya kuzalisha majogoo wengi?
Na usafirishaji wa hawa vifaranga kwa basi kutoka arusha kuja dar umekaaje?hawawezi kufa kwa joto,njaa na kiu?maana ni around 10hrs from Arusha to Dar.
Chasha Hao kuku wa kenbro ni wazuri sana, tuliwahi kwenda ziara ya mfunzo Kenya na niliwaona, ni wekundu na wakubwa sana, mimi niko Mbeya ila nitaku pm make nataka mbegu ya hao kuku,
Ni wazuri sana kwa mtazamo na namna wanaowajua wanavyowaelezea.vp kuhusu kustahimili magonjwa!Chasha
Mkubwa usinisahau hapa town! NtakuPM muda kwa ajili ya mawasiliano zaidi.
Hapa mambo karibia yanaanza!
Kubota
asigwa
Mama Joe
Mama timmy
Huku kunatuhusu! Mpatapo chanzi leteni mawazo yenu hapa.
Chasha funguka pia kuhusu hawa Dorep. Tuwekee hata picha tuwaone na pia sema kidogo on bei zao kwa size na ukubwa mbalimbali. Tunasubiri...........
Hawa Dorep ndo nimepata mayai na vifaranga na kwa mujibu wao wanataga hadi mara 3 kwa siku, ila sijaprove na ni very expensive kuliko kuku wote kenya.