CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
- #41
Sawa Chasha kuna mchanganyiko kidogo kwenye maelezo yako, hao KENBRO kuna wakubwa say miezi 3 au 4 au 5 na bei zako zikoje? Vivyo hivyo kwa hao majige? Ulituambia bei za vifaranga lakini bei za wakubwa kidogo say wiki 3 au 4 au 5 hujafunguka au huuzi wakubwa kidogo Chasha? Funguka.
Mkuu sina wakubwa wapo vifaranga tu. Kama unataka wa huo umuri unatakiwa usubiri mkuu.
Na mimi naona bora mtu achukue wadogo aanze nao,