Kuku aina ya Kenbro

Kuku aina ya Kenbro

Wakuu nazani Mambo yanenda Vizuri, nilikuwa huko Magharibi mwa Kenya, kwa kweli wenzetu Marketing strategies zao ziko juu sana, jamaa wana marketing strategies ambazo sijawahi ziona huku Kwetu kabisa, hivyo tunapaswa kubadilika kabisa tuko nyuma ya wakati
 
Nyumbulika mkuu kuhusu hizo Marketing strategies what and how are they doing?
 
Tehe tehe, mkuu nitaku PM

Sasa kiongozi na mimi nikihitaji kujua hizo strategies utani Pm na Yule naye akihitaji utam PM, na yule mwingine, na yule, na yule!! huoni kwamba hilo litakuwa ni tatizo? kwa nini usibandike hapa kwa faida ya wote?
 
Mkuu si kila information inabidi kuiweka hapa
 
Kaka kwangu hakuna umeme mpaka next year,niko kwenye ujenzi...... Sasa ntawatunzaje hao chicks? Thus why nataka kidogo baadae ni kiweka umeme niagize wengi,
 
Mimi ninao Korongo wa Malawi,mienzi mine jogooo linakuwa mpaka kili tatu. Nipo Mbeya kwa watakao wahitaji wani pm...........
 
Attachments

  • _DSC2295.JPG
    _DSC2295.JPG
    853.8 KB · Views: 236
Mimi ninao Korongo wa Malawi,mienzi mine jogooo linakuwa mpaka kili tatu. Nipo Mbeya kwa watakao wahitaji wani pm...........

mKUU hongera sana, kwa hao Kuku ako, Ila mimi nina tatizo ,oja na kuku wa Malawi, wengi walioko mtaani wameasiliwa na In breeding kiasi kwamba wameisha poteza ubora wake kabisa, Hivyo kama kuna mtuana Black Australorp pure kabisa naweza kufanya crossing na kupata Kuku wazuri sana na F1 wa Malawi
 
Kaka kwangu hakuna umeme mpaka next year,niko kwenye ujenzi...... Sasa ntawatunzaje hao chicks? Thus why nataka kidogo baadae ni kiweka umeme niagize wengi,

Mkuu Vifaranga si razima umeme, unaweza tumia jiko la mkaa kuwapa joto, na kama uko Dar joto lenyewe la Dar ni tosha kabisa, Au unaweza subilia ukimali Kujenga Mabanda yako na utawakuta tu na utakutana na Breed ingine nzuri zaidi kama SASSO,KOROILER, SUPER CHICK na Koekoek kutoka South Africa Repubic.
 
Back
Top Bottom